Nakosa cha kuongea na mpenzi

Dk 5 nyingi bwashee.. Hamna vitu common?? Mziki, movie, mpira, siasa nk??? Sasa mlianzaje hadi mkapanga kuoana??? Au mnawasiliana kwa maandishi??? Humo ndani mtaishije kwa stail hiyo???
 
Kua hvyo hvyo ndugu yangu as long as unaingia kwenye ndoa mda si mrefu, akipretend kua someone else or any thing else,itakucost hapo baadae sababu ni rahisi kuziacha tabia amabazo umezidevelop intetionally hapo ndipo matatzo yatapoanzia
Just be real huwezi jua yeye ukmya wako ndio uliomvutia na sio kwamba unamchosha hayo yanaweza kua mawazo yako tu

delta_state
 
Last edited by a moderator:
Duh!
Hilo ndo tatizo la kuwa bookworm,
Mpenzi wako anatakiwa awe rafiki yako, mbona vya kuzungumza vingi sana?
Hata pumba, nyie ongeeni tu!
 

Kwani papuchi umwombaje? Tuanzie halo kwanza!
 
Siku umwambie unampenda kuliko kawaida ndyomaana unakaaga kimya kwahyo mtengenezee mazingira yeye ndye awe wa kuanzisha maada we unakua unamjibu pia jiamini.
 
Ukikaa naye muulize baba yake anaitwa Nani...amezaliwawapi......anapenda kula mini?,,, anapenda maji kuoga yakoje...nk ukimaliza njoo kwa mama yke....shemejio nk
 
Hii hali ni kweli hutokea kama tu...
1.Ndio kwanza mnaanza kuwa wapenzi
2.Unajihisi kama huna hakika na anachohitaji kwako
3.Wewe ni mpore na mwenye aibu
 
Mwambie "mpenzi, mama yako mzazi ni mwehu" halafu uone kama mnaweza kukaa hata sekunde 5 bila kuongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…