Nakopesha simu za mkopo aina ya Samsung A06, A07, A16 na A17

Nakopesha simu za mkopo aina ya Samsung A06, A07, A16 na A17

Prentince

Member
Joined
Mar 6, 2026
Posts
8
Reaction score
5
Habari JF

Kama kichwa kinavyojieleza ninakopesha simu za mkopo aina ya Samsung.
Modeli no A06, A07,A16 na A17.

Njoo na kianzio Cha shillingi elfu50 kwa Samsung A06 na A07 Ili uanze kumiliki simu Yako.

Viambatanisho ni namba ya NIDA, leseni ya UDEREVA au kitambulisho cha mpiga kura.

Dar kokote ulipo ninafika. Kwa mawasiliano DM karibuni.
 
Unakuta simu ya 250k mnaiuza hadi 500k
Samahani mkuu kama inakukwaza lakini cash Haiwezi kufanana na mkopo.
Kuna gharama za usimamizi, Kuna hatari ya hasara Kuna riba ya mtaji na mambo mengine.
Kama utapendelea kati ya hizo au ndugu yupo naomba unijulishe mkuu
 
Unakuta simu ya 250k mnaiuza hadi 500k
Wabongo ni shida sana, sasa mtu kama unaona unapigwa si unaenda kununua simu kwa cash tu kwani umeshikiwa bunduki kwamba lazima ukope. Ukitaka mserereko lazima ikugharimu tu, maamuzi ni yako!
 
Back
Top Bottom