luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,801
Sidhani kama una shida mimi naweza kuwa sijanywa maji lakini ukifika mda wa kulala nakua na hamu na kiu balaa yaan nakunya maji mwanzo mwisho na kukojoa hivyo hivyo.
Nakunywa maji kuliko vinywaji vingine yaan kiufupi nakuwa na hamu nayo.
So kama unakunywa maji lazima kukojoa hata kila baada ya musu saa.
Nakunywa maji kuliko vinywaji vingine yaan kiufupi nakuwa na hamu nayo.
So kama unakunywa maji lazima kukojoa hata kila baada ya musu saa.