Kuna mambo mengi zaidi ya kuangalia kama dalili ambatanishi,mfano;
Una umri gani?Unakunywa maji kiwango gani?Je kiu ya maji unaona imekua kubwa sana tofauti na zamani?Vp kuhusu hamu ya chakula?Je unasinzia hovyo nyakati za mchana?Kama ni mwanamke,watoto uliozaa walizaliwa na uzito(birthweight) gani?Na katika familia mna historia ya ndugu yoyote kuugua ugonjwa wa kisukari?Pia ukikojoa unapata maumivu yoyote na mkojo hua una rangi gani?
Kukojoa mara kwa mara usiku ni inaweza kua dalili moja wapo ya Kisukari (Diabetes mellitus) au maradhi mengne pia.
Ni vyema ufike hosp kwa uchunguzi zaidi.