Nakodisha kwa mkataba toyota noah

Nakodisha kwa mkataba toyota noah

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
95
Nakaribishwa wenye makampuni au ofisi binafsi au shule au hotel wanaotaka kukodisha kwa mkataba toyota noah ambayo ina week moja tu tangu iingie kutoka japan kwa matumizi mbali mbali.
Rangi yake ni kijani, na year of manufacturer ni 2000. Na inachukua abiria 8 kwa nafasi lakini kumi wanakaa.
Karibuni.

Wasiliana na 0713 689665
 
HEHEhe mkuu hiyo rangi ndo yenyewe,,tena 2015 watakikodi kinoa chako adi ushangae
KIDUMUUuu,,lol
 
aiseeee babayangu kuliliwa jakuna haja ya kibandika tangazo hapa wewe nenda pale lumumba. ipaki pale kwa huto sumbuliwa na site
 
aiseeee babayangu kuliliwa jakuna haja ya kibandika tangazo hapa wewe nenda pale lumumba. ipaki pale kwa huto sumbuliwa na site

Sijakuelewa unasema ni park Lumumba nitasumbuliwa au sitasumbuliwa kwa vipi naomba nielemishe zaidi hapa tunasaidiana kufanya biashara zetu kaka yangu.
 
Back
Top Bottom