Nakodisha kwa mkataba toyota noah

Nakodisha kwa mkataba toyota noah

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
95
Nakaribishwa wenye makampuni au ofisi binafsi au shule au hotel wanaotaka kukodisha kwa mkataba toyota noah ambayo ina week moja tu tangu iingie kutoka japan kwa matumizi mbali mbali.
Rangi yake ni kijani, na year of manufacturer ni 2000. Na inachukua abiria 8 kwa nafasi lakini kumi wanakaa.
Karibuni.

Wasiliana na 0713 689665
 
Nakaribishwa wenye
makampuni au ofisi binafsi au shule au hotel
wanaotaka kukodisha kwa mkataba toyota noah ambayo ina week
moja tu tangu iingie kutoka japan kwa matumizi mbali mbali.
Rangi yake ni kijani, na year of manufacturer ni 2000. Na inachukua
abiria 8 kwa nafasi lakini kumi wanakaa.
Karibuni.

Wasiliana na 0713 689665

Habari yako mkuu!? rate zako zikoje nikikodi kwa siku nzima au masaa sita tu..weka wazi pia mafuta na dereva malipo yake yanakuwaje?
 
Habari yako mkuu!? rate zako zikoje nikikodi kwa siku nzima au masaa sita tu..weka wazi pia mafuta na dereva malipo yake yanakuwaje?

Nomba nipatie leo tu muda ili niwasiliane na aliyenituma kisha nitakupa jibu kesho. Kama utaweza ntumia sms kwa namba hiyo basi jibu utapata baada ya dakika chache mkuu
asante
 
Habari yako mkuu!? rate zako zikoje nikikodi kwa siku nzima au masaa sita tu..weka wazi pia mafuta na dereva malipo yake yanakuwaje?

Habari yangu mkuu ni nzuri. Nimeongea na dereva anasema root zako zikoje umpatie maelezo. Anadai kama utatoa 80 elfu na root zikiwa si mbali basi inaweza kuwa 80 000 mpka laki na Driver ni wake na mafuta ni yeye. Anaomba mzungumze kwa sms mtumie sms kwa namba hiyo hapo ya TIGO mzungumze zaidi.Asante nimekujibu
 
Impressive, like it peep
 
Nasikia kwa habari nyepesi nyepesi kwa hapa Dar kukodisha Noah kwa siku ni Tshs. 30,000/= ila driver analipwa na anayekodi na mafuta anaweka kwa anyekodi gari. Nakaribisha sasa wanaotaka Noah iko kwenye hali nzuri sana ina wiiki sasa tangu iingie kutoka Japan. KARIBUNI WENYE MAHOTELI, WANAOBEBA WAGENI KUTOKA AIRPORT NK.
 
Back
Top Bottom