Brightburn
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 392
- 737
Mafuta unaniwekea kiasi gani kwa siku?Habari zenu waheshimiwa!
Nakodisha gari (Toyota Noah - 2005 Model) naikodisha siku yoyote utakayoihitaji, labda tu iwe imekodiwa na mtu mwingine. Naikodisha kwa ghrama tofauti kulingana na siku, ni ndani ya mkoa wa Dar Es Salaam tu;
Muda wa ukodishaji (mtu mmoja);
- Jumatatu - Alhamisi: Tsh 130,000/= kwa siku
- Ijumaa - Jumapili: Tsh 250,000/= kwa siku
Muhimu;
- Jumatatu - Alhamisi: Saa 12 asubuhi (06:00 AM) hadi saa 2 usiku (20:00 PM)
- Ijumaa - Jumapili: Saa 2 asubuhi (08:00 AM) hadi saa 6 usiku (00:00 AM)
Kwa atakayehitaji awasiliane nami: 0692987122
- Dereva ni wangu
- Mafuta naweka mwenyewe
- Gari ina AC safi mno!
- Gari ina bima kubwa
- Utaletewa gari safi
- Dereva mwenye nidhamu
- Siikodishi kwa kazi ya dala dala
- Inabeba watu 6 ukiachana na dereva
Inategemea na safari yako boss, mimi hata nikibakiwa na 30 elfu nitasema asante Mungu!Mafuta unaniwekea kiasi gani kwa siku?
Nimeshaikodisha kwa Tsh 250,000 zaidi ya mara tatu kwenye harusi kwenda kuwabeba watu kuwapeleka ukumbini na baada ya harusi kuwarudisha kwao.Bei zako zipo juu sana 250000 kwa siku hata fuso ya mchanga hailazi hii hesabu.
Labda upate mtu anaye uza unga a.k.a ngada...a.k.a drugs.....
Kiufupi huwezi pata mtu full stop. Hata amsini kwa siku hupati labda 30000 kwa siku.
Na hilo sipingi lakini huwezi wapata wa 250K kila sikuNimeshaikodisha kwa Tsh 250,000 zaidi ya mara tatu kwenye harusi kwenda kuwabeba watu kuwapeleka ukumbini na baada ya harusi kuwarudisha kwao.
Asante kwa maoni yako boss!
Ni kweli boss, ndomana nacharge kiasi hicho kuanzia Ijumaa - Jumapili tu ili kutarget wale wenye masherehe yao.Na hilo sipingi lakini huwezi wapata wa 250K kila siku
Hapo sawa nimekusoma, fanya tu hivo.Ni kweli boss, ndomana nacharge kiasi hicho kuanzia Ijumaa - Jumapili tu ili kutarget wale wenye masherehe yao.
Pamoja boss!Hapo sawa nimekusoma, fanya tu hivo.