Toyota noah old model

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
1,482
3,124
wanajamvi nataka kununua toyota noah old model, ambayo ni used ,kwenye kupatana mtandaoni, kwa ajili ya ruti za hapahapa mjini,na weekend naenda beach na familia, nasikia kuna old model za aina tofauti mfano, panki, dungu, extra limo, limited, field tour nk.

Sio mjuzi sana wa magari, naomba msaada, namna ya kukagua gari kabla hujanunua na aina ipi nzuri kwa kuzingatia, spea, ulaji mafuta, uimara nk.

Msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom