Hujasema side effects zake.Ukute unavumilia mengi nakakwambia yuko kwao anakuja leo kumbe mpenzi wake anamla kwa mwishomwisho kabla hajaja kwako nakukwambia kachoka na safari hivyo hawezi chochote.Ahsante sana mkuu, kesho naazimisha miezi 2 ya Ndoa yangu.
Mke yupo njiani kutoka mkoani kuja home leo hii, Ndoa ni raha kama bado karibu sana chamani
Ilikuwa kimasihara sana hata muda wa kualika watu sikukumbukaUkaoa kimya kimya.. Bila kushirikisha kamati ya popoz..
JF Watchers
Ukimchunguza bata sana hutaweza kumla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hujasema side effects zake.Ukute unavumilia mengi nakakwambia yuko kwao anakuja leo kumbe mpenzi wake anamla kwa mwishomwisho kabla hajaja kwako nakukwambia kachoka na safari hivyo hawezi chochote.
Ahsante sana bahari uliyepata misukosuko kutokana na chombo kuwa na kreki wakati wa safari[emoji23][emoji23]Hongera sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndoa miez miwili tu mkeo tayr ana safari ..umeliwa ww kaenda kwa x wake[emoji23][emoji23]
Usijali tuombe uzima na afya njema na tuombe malaika asishuke kuzima hili jamvi, tutapeana updates hapa hapaBaada ya muda kupita kama 2 years hivi tupe kamrejesho mkuu kama hali itakuwa hivyo hivyo, tupate motivation
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwendraaa una hela za kutoa ww ??
Wivu wao tu huoHahaha.
Mnataka jamaa ajiue nyie.
Mkuu kweli umeoa?Wivu wao tu huo
Hahaha... nyie mnakosea saana.Hii tunaita pombe ni ile ile ndani ya chupa mpya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inna... ila wanaume hawajui asali zilipo Mwifwa kaenda kuoa kwao huko Pwani kakusahau hapa.
Tumpe miezi sita atarudi kutuomba ushauri.
Hili povu vipi alikula kimasihara😄😄😄Ndoa miez miwili tu mkeo tayr ana safari ..umeliwa ww kaenda kwa x wake😂😂