Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,951
- 146,217
Showrooms nazo inabidi ziwe angani.
Showrooms nazo inabidi ziwe angani.
Ndege ni big deal sana kwako?Jf kila mtu anapanda ndege
Hii sio gari ni pikipiki bajajAnd ndo nahamishiwa dar, nataka ninunue Daihatsu terios kid cc600 ndo itanifaa, au bajaj qute nimeziona opp na quality plaza pale. Tterios inakula 20 kwa lita baja inakula 35 kwa lita na ina matairi 4View attachment 814491
Aahhh wapiiiiJf kila mtu anapanda ndege
SureUmebaki wewe tu ambaye bado unapanda ungo 🙄
Na vilaza pia mupoo 🙄🙄Jf kila mtu tajiri, msomi na mwenye akili nyingi
Barabara aifunguliwi mpaka kifike kipindi cha uchaguzi. Wafanye mbwembwe za kuwafurahisha wakina Mama na wazeeTangu saa moja na nusu usiku huu, hadi muda huu nikiwa natokea Tabata mataa, sijavuka Tazara, na sasa inaingia saa nne hii, tuoneeni huruma jamani, kama flyover imekamilika ifunguliwe jamani, tunaumia..!
Jamaa alikuwa anatuzuga anaenda uwanja wa ndege kumbe anaenda pugu mnadaniJf kila mtu anapanda ndege
ndo muwe mnapandaga daladala mda mwngne apo ungekua kweny gari ya umma ungeshuka na kuanza kupiga amdha kanuni mkuu



