Nakiona cha moto Tazara junction muda huu!

Nakiona cha moto Tazara junction muda huu!

Hiyo njia uwa sipiti nina muda mrefu yani kukaa foleni masaa 4 kawaida,kuna siku nilikuwa nimetoka ubungo kwenda gongo la mboto nilikaa masaa matano mpaka mhusika nilikokua naenda nilimkosa.
Kwahiyo tuseme anayetoka ubungo kwenda tanga anafika mapema kuliko anaetoka tabata kwenda eapoti
 
Hiyo njia uwa sipiti nina muda mrefu yani kukaa foleni masaa 4 kawaida,kuna siku nilikuwa nimetoka ubungo kwenda gongo la mboto nilikaa masaa matano mpaka mhusika nilikokua naenda nilimkosa.
Na kwa hali hiyo ndio tujue kuwa Ubungo na Tazara flyovers ni muhimu kwa uhai wa taifa hili, bila hayo madaraja kujengwa uchumi wa taifa hili ni lazima ungeteketea tu
 
Aiseee...
Nimetoka Kilwa saa 17:33
Nimeingia Kongowe saa 20:00
Nimeingia mbagala saa 21:10
Nimeingia hii barabara ya kuelekea liliko daraja la TAZARA saa 21:30, mpaka sasa niko opposite na Sunshare.

Tutapata tabu sana
Ni mateso makali sana tunapata, hiyo flyover kwanini haifunguliwi?!
 
Jf kila mtu anapanda ndege
Tiketi hiyo hapo
IMG_20180721_092215_994.jpg
 
Hiyo njia ya kutokea buguruni sijui wanafanyaga maksudii au la na mbaya zaidi kama unaturn kwenda airpot sijui kama washaruhusu kupinda .......ya town ata ukisimama mataa ya veta una uhakika wa kupita tazara anytime
 
Back
Top Bottom