Nakiona cha moto Tazara junction muda huu!

mmh punguzeni usafiri binafsi, yaje masi marefu kam train yabebe watu
 
Aiseeh pole sana, foleni inaudhi hasa ukiwa mwenyewe kwenye usafiri binafsi. Maana ukiwa kwenye usafiri wa umma unashuka bora hata kutembea kwa miguu au kupanda bodaboda. Laah sijajua uelekeo wakoni wa wapi, pia kama uko kwenye usafiri binafsi ungeweza kuepuka foleni hiyo kwa kupita njia ya kigogo au tabata kuelekea segerea ili uikwepe hiyo foleni ya buguruni Tazara.

Bora kuzunguka ila hukai foleni, kuliko kukaa njia fupi na husongi.
 
Aiseee...
Nimetoka Kilwa saa 17:33
Nimeingia Kongowe saa 20:00
Nimeingia mbagala saa 21:10
Nimeingia hii barabara ya kuelekea liliko daraja la TAZARA saa 21:30, mpaka sasa niko opposite na Sunshare.

Tutapata tabu sana
 
ndo muwe mnapandaga daladala mda mwngne apo ungekua kweny gari ya umma ungeshuka na kuanza kupiga amdha kanuni mkuu
 
Aiseeh pole sana, foleni inaudhi hasa ukiwa mwenyewe kwenye usafiri binafsi. Maana ukiwa kwenye usafiri wa umma unashuka bora hata kutembea kwa miguu au kupanda bodaboda. Laah sijajua uelekeo wakoni wa wapi, pia kama uko kwenye usafiri binafsi ungeweza kuepuka foleni hiyo kwa kupita njia ya kigogo au tabata kuelekea segerea ili uikwepe hiyo foleni ya buguruni Tazara.

Bora kuzunguka ila hukai foleni, kuliko kukaa njia fupi na husongi.
Aapo umesema vyema ,kama usafir binafsi bora kupita Tabata dampo uko atokee kigogo, panakera sana ,au ukiwa kwenye daladala ukute Dereva hajiongezi kidogo nakupita shortcut,nikushuka tu
 
Back
Top Bottom