Nakereka nikilisikia hili tangazo

Nakereka nikilisikia hili tangazo

Half London

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2014
Posts
261
Reaction score
115
Habari wana JF? Kiukweli hili tangazo la share Coke with...huwa linanikera pale ninapolisikia redioni. Inaonekana anayeita mamaaa....mamaaa...nini mwanangu? Umempa (sina uhakika na jina) yenye jina halafu mimi hujanipaaa.... Ni wale watoto wanaodeka wakiwa wakubwa. Ile sauti ni ya mtu mzima kabisa. Bora wangeweka hata sauti ya mtoto mdogo tu. Samahanini na nyie kama nimewakera wanajamvi.
 
Yaani Nilidhani Niko mwenyewe, ninaehisi kudanganywa kama mtoto na tangazo lile, Yaani hata mtoto wangu alienda kwamba lile ni limit lazima. Linajifanya litoto.
 
Tangazo la kijinga sana.
Hawa Coca cola wameishiwa ubunifu, si ajabu wameajiri watu wenye ufinyu wa imagination.
 
Kweli watu wanapeana kazi hata zisizostahili. Tangazo la mtoto anapewa mtu mzima? Bongo movie imehamia kwenye biashara za matangazo. Tomato inakuwa damu.
 
hata hizo media zinazo lirusha tangazo hili nahisi hazina assesor wa matangazo. Halina quality kabisa
 
hata hizo media zinazo lirusha tangazo hili nahisi hazina assesor wa matangazo. Halina quality kabisa

Hela si imeshaingia wao wana tatizo gani media wanapeleka hewani tu ndugu.
 
Ubunifu upo kwenye matangazo kama ya KIWI,ACTION,PROTEX na mengineyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom