nakata tamaa na Western Medias | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nakata tamaa na Western Medias

Discussion in 'International Forum' started by quimby_joey, Aug 23, 2011.

 1. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Nimefatilia kwa karibu hali inayoendelea nchini Libya kuung'oa utawala wa Col. Ghadafi, nimekosa imani kabisa na vyombo vya habari vya kimagharibi (BBC, Sky News) pamoja na kile cha wamarekani (CNN) toka watangaze waasi wa libya wanashikilia asilimia 90 ya mji wa Tripoli wamekua wakitoa taarifa zisizo na uhakika pamoja na kutuonesha live nini kinachoendelea. Hizi ni baadhi:

  i. Kwamba, waasi wanashikilia 90% ya mji wa Tripoli (BBC), CNN wanasema 80%
  ii. Correspondents wa BBC toka juzi wanasema waasi wameuteka mji wote na hawatorudi nyuma wala hakuna vipingamizi walivyokutana navyo usiku wa kuamkia leo wanatuambia waasi itabidi wasikae Tripoli warudi kwani hali bado si shwari mji haujatulia kutokana na majeshi ya Ghadafi kushambulia (BBC,CNN).
  iii. BBC, Sky News,CCN walitoa taarifa toka juzi kuwa watoto 3 wa Col. Ghadafi wamekamatwa na wanashikiliwa na waasi, alfajiri ya leo Saif Al-Islam kajitokeza hadharani na kukanusha kukamatwa kwake na kutoa taarifa kuwa babake yuko hai na salam na kwamba bado wanaushikilia mji wa Tripoli.
  Je, nini maslahi ya vyombo hivi vya habari vya wazungu katika vita ya Libya, ilihali kulipotoka taarifa kuwa Afrika Kusini wamepeleka ndege yao kutorosha Ghadafi vyombo hivyo vya habari vilikuja juu kuilamu Afrika Kusini, ni wanachokitaka hawa watu?
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Kuna maslahi ya kila upande katika media, all in all iwe leo au kesho Kadafi ataondolewa tu it is a matter of time.
   
 3. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Media ndio huwa inaamua mwelekeo wa vita kwa hiyo usihofu wanaotawala media ndio watashinda hata kama ushindi wao utachelewa

  Sasa hivi Cameroon anawaza jinsi ya kuweka mabomba ya mafuta toka libya to uk through france.........Changanya na zako
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  rekebisha kichwa cha habari hakuna kitu kinachoitwa medias
   
 5. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Hawa Mabazazi ni majizi yaliyokubuhu usiyasikilize mkuu
   
 6. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #6
  Aug 23, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Kuhakikisha kuwa nchi za kimagharibi zinafanikiwa kuyatia mafuta ya Libya kibindoni na kusonga mbele kutwaa Syria na who knows pengine watakuja hapa kwetu watataka madini yawe yao hasa hasa uranium (mwenzio akinyolewa wewe tia maji)
   
 7. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #7
  Aug 23, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mie naomba mafuta yasigundulike mwambao wa Dark es Salaam maana wenyewe wakisema tunayataka ni yetu wewe ukibisha unakula kichapo na watakaoumia ni wasio na hatia.
   
 8. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vyovyote iwavyo utawala wa Muamar Ghadafi ndo umeshafikia mwisho kwa sababu hadi hivi ninapoandika anapigania mji wa Tripol tu wakati yeye alikuwa mtawala wa nchi nzima. Na kwa taarifa yako ilikuwa ngumu sana kumzungumzia Ghadafi hovyohovyo nchini Libya lakini leo watu wanauwa hadi wajukuu zake na kumtukana waziwazi. Ni suala la muda tu kwani hakuna aliyeamini kwamba Gbagbo angeng'oka lakini yuko wapi? NGUVU YA UMMA NI NOUMA!!!!!!!!!!
   
 9. N

  Nonda JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. N

  Nonda JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
 11. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
   
 12. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Asante mkuu
   
 13. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Taarifa aliyoitoa usiku wa kuamkia jana kupitia televisheni ya taifa amewatangazia raia wote wa Libya hasa wale walioko Tripoli kuwa sasa Tripoli imegeuka Baghdad hivyo wananchi wafanye kila wawezalo kuwarudisha nyuma waasi, hapa anamaanisha watu waanze kujitoa mhanga, je hii itawezekana?
   
 14. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mkuu sijakusoma
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #15
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Unajua mnachekesha media hizo hizo mnazozilaumu ndiyo mnazitumia tena kama source kujenga hoja zenu, guyz you should know how media works na nini maana ya media!!!!!!
   
 16. m

  menny terry Senior Member

  #16
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kiukweli hata seif al islam alipotoka mafichoni alionekana dhahiri kuwa maji yamefika shingoni wamepoteza kila kitu.Kwisha habari habari yao bado kunyongwa na OKAMPO.IT'S A MATTER OF TIME WAIT AND SEE.
   
 17. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ni westerns ndo hawamtaki Gaddafi na si walibya ingawa si wote!
  Iyo transition wangeachiwa walibya wenyewe waamue na si kwa vita!
   
 18. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  yaani kuna watu wanadhani mpaka leo dikteta gadafi atashinda kweli? Nawapa pole wote wanaomshabikia huyo jamaa!
   
 19. HT

  HT JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  when is O Campo going to prosecute the NATO masterminds?
   
 20. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kuna tatizo moja kubwa miongoni mwetu kuhusu kuelewa namna western media zinavyo-operate, wengi wanafikiri ni kama vile TBC au zinakuwa directed na serikali za uingereza, Marekani au Ufaransa kuhusu nini watangaze!!!!!! Guys this a dead wrong assumption, these are purely independent firms, each have their pple on the ground na some other sources wanapata habari na kuzirusha in fact ni mashindano maana ni biashara. Hivyo basi it's just the matter of who breaks the news first. Wanachofanana hawa the so called western media ni mtizamo say kuhusu umasikini in Africa au lack of democracy in the Arab world etc. Lakini kufikiria kwamba a news outlet kama foxnews kuwa sawa na CNN is a dead wrong assumption. Wala sky news si sawa na Aljazeera.
   
Loading...