Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Ganzi miguuni na mikono(harafu inapata ubaridi) je kipimo gani kinatakiwa au dawa gani nitumie nipone?
Tafuta vitamin D3 yenye IU kubwa.Nilikuwa na hiyo shida hadi nikaenda Nairobi hospital nikapimwa wakaniandikia hiyo dozi,kwa kweli ilinisaidia.Hospitali za hapa bongo zile kubwa kubwa mbili hawakuona ugonjwa
 
Hellow mtaalamu.
Ndg yangu anasumbuliwa na fangasi ukeni kwa muda mrefu, ametumia anibiotics mbalimbali zikiwemo za kuinset ukeni lkn hajapata nafuu kwa maana ugonjwa huwa unaondoka na baada ya muda unarejea. Na hili limewahi hata kusababisha ujauzito kutoka.
Naomba msaada ni wapi tunaweza pata mtaalamu wa kumaliza tatizo hili sugu kwa ndg yetu maana tulianza zahanati mbalimbali za hapa tunapoishi, hospitali ya rufaa mkoa na hata baadaye tulisafiri hadi Regency hospital Dsm na bado tatizo hili halijakwisha.
Tafadhali tunaomba msaada.
Natanguliza shukrani za dhati.
Aloweke nguo za ndani zote kwenye detto,afanye hivyo kila weekend maana hao fungus wanaweza kuwa wanabakiaga kwenye nguo ndo maana anaugua tena.Azichome za zamani zooote halafu hizo mpya awe anaziloweka weekly kwenye deto siku nzima.Pia achemshe majani ya mnyonyo awe anakunywa maji yake
 
Dokta najiskia kuchoka mda wote na nikijaribu kulala nashindwa kunakuwa na mshtuko fulani alafu kichwa kinauma mda wote nimeenda kwa hospital wananiamba ni mawazo tu,, je tatizo nn ?
 
Mtu mwenye umri wa miaka 43 na uzito wa kilo 87, anatakiwa ale zaid vyakula aina ipi na aepuke vyakula aina ipi ili aendelee kuwa na afya njema?
 
Mtu mwenye umri wa miaka 43 na uzito wa kilo 87, anatakiwa ale zaid vyakula aina ipi na aepuke vyakula aina ipi ili aendelee kuwa na afya njema?
Vyakula vya Kuepukaa.. NYAMA NYEKUNDU..NYAMA ZENYE MAFUTA KAMA NGURUWE..KIWANGO CHA MAFUTA KWENYE CHAKULA KIWE KIDOGO SANA PIA CHUMVI NA SUKARI APUNGUZE SANAA. Viti kam Peanut butter sijui...chips za kukaanga. Na vyakula vya kukaanga kaanga aache kabisa. Pia awe anafanya Mazoezi hata ya kutembea. Nimekwambia vyakula vya kuepukaa ni rahisi.
 
Mkuu samahani,
Tangu juzi nlipatwa na tatizo la tumbo, nlikua nahara nkienda haja kinyesi kinakua kama makamasi hivi na hakitoki kingi sometimes ni kama maji flan hivi. Saivi tumbo kinakua kama linauma kimtindo sio kivile lakini kila nkienda haja kitu kinatoka in liquid form

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
ugonjwa gani mkuu tuambiane:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:au gono yeeeeeee
Njia ya mkojo ilikuwa inauma nikikojoa, nakojoa kwa shida. Hii hali ilishawahi kunitokea, lakini safari hii ilikuwa tofauti, ilidumu karibu wiki 2 na nilikuwa natumia dawa. Ila nilipoigusa Azuma siku 2 tu nikapona
 
Habarini wanajamvi, kimsingi nimekuwa nikisumbuliwa sana na tumbo kuunguruma mara kwa mara na kujaa sana gesi..Nimekwishapima vidonda vya tumbo kama mara nne hivi pamoja na magonjwa mengine lakini naonekana sina kitu! Mara nyingi ninapoenda hospital napewa dawa za kupunguza gesi lakini tatizo hili limekuwa likijirudia mara kwa mara na kunikosesha comfortability sana tumboni!

Msaada katika hili wanajamvi..
 
Jamani wanajamvi naombeni kwa yeyote anayeweza kunipatia namba ya dokta Kapona tafadhali alinisaidia sana tatizo la uzazi sasa kuna rafiki yangu anashida kama yangu nataka nimpatie
 
Habarini wanajamvi, kimsingi nimekuwa nikisumbuliwa sana na tumbo kuunguruma mara kwa mara na kujaa sana gesi..Nimekwishapima vidonda vya tumbo kama mara nne hivi pamoja na magonjwa mengine lakini naonekana sina kitu! Mara nyingi ninapoenda hospital napewa dawa za kupunguza gesi lakini tatizo hili limekuwa likijirudia mara kwa mara na kunikosesha comfortability sana tumboni!

Msaada katika hili wanajamvi..
Fanya mazoezi ya viungo
 
Nasumbuliwa na Maumivu ya Kiuno hasa nikiinama na nikikaa chini maumiv nayahisi lakini nikitembea or kulala maumivu kwa mbali msaada wenu tafadhar...
 
Habari Dr,naomba nisaidie,ninatatizo la kende la kulia kuvimba kwa sasa limekuwa kubwa size ya yai la kuku,nitumie sawa gani lirudi katika hali yake ya kawaida..Cha ajabu haliumi
 
Back
Top Bottom