Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Inaponyesha kabisa au inatuliza maumivu tu?

Inatibu kwa muda Herpes ni ngumu sana kutibika moja kwa moja
Ani utapona then baada ya muda immunity ikiwa shaked vinaweza tokea tena utatumia dawa vitapotea
Au kama vikiwa chronic saana dokta anaweza kukushauri utumie kwa muda mrefu hata baada ya kupotea
 
Shukrani mkuu
 
Nini dawa ya Tinnitus?
Je kama hiko sikio moja,je inaweza ambukiza jingine?
 
Shikamoo mkuu, naomba kufahamu tiba ya pearly penile papules pamoja na bawasiri na pia sikio langu huwa nalihisi kama lina maji na huwa linawasha kiasi pamoja na kuziba kwa muda mrefu lakini kila hospital nilioenda nimeambiwa sina tatizo nikapiga na bomba hadi nikawa nazisikia hatua zangu kama bomu lakini wapi, msaada tafadhali.
 
Pole sana mkuu.jikubali
 
Baada ya kupitia kila case na the way Dr kajitahidi Ku solve congrats kwake mamii

Umetoa right treatment na ushaur mzur kwa kila case Mimi kama mfamasia nakupa bigup za kutosha.

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
 
Unahitaji ya kutibu au kupunguza maumivu?
Una tatizo ggn, limeanza lini na ushatumia dawa gani?
mkuu nataka ya kumaliza kbx ikiwezekana, ttz ndio hilo yaan kiuno kinauma balaaa kMa uck wa Jana ckulala kbx, ttz Lina muda kdg km miaka mi 3 hivi. Na dawa huwaga natumia hizi za pain releaf tu kama diclofenac n.k
 
Nini sawa ya ugonjwa wa wazimu? Asante Mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…