Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,691
- 3,426
Hebu fafanua hapo kwenye Iron supplement na bleed mkuuJe unakula aina yoyote ya Iron supplement? Nenda ukachekiwa internally hosp kuna uwezekano una ulcers kwahio una bleed au cancer! Wahi hosp
Kuna ndugu huwa anasumbuliwa na kiungulia mara kwa mara nyakati za usiku, dawa gani itamfaa Dr?Hellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!
Karibuni sana.
A
B
C
D
E
F
Kuna kitu nimesahau kukujulisha kiongozi...Je unakula aina yoyote ya Iron supplement? Nenda ukachekiwa internally hosp kuna uwezekano una ulcers kwahio una bleed au cancer! Wahi hosp
Write your reply.. Doctor Nina tatizo nimeathirika na punyeto vp naweza Fanya nirudi ali yangu n nguvu z uume kma awali ??
Nasumbuliwa na gono mwezi wa tatu sasahivi nilienda clinic nikachoma sindano usaha ukawa hautoki tena, nikawa fresh kabisa baada ya wiki mbili nikafanya mapenzi nilitumia condom fresh kabisa, asubuhi nilipo amka nikawa naisi maumivu sehemu zangu za pumbo nikavumilia kama siku mbili nikaenda tena clinic MR Doctor akanipa tena doz ya sindano na vidonge, baada ya wiki mbili nikajihisi nimepona kama kawaida nikafanya tena mapenzi nilitumia condom sema asubuhi nilipo amka nikawanaona kitu kama maji maji mazito meupe yanatoka kwenye ume wangu nikaenda tena clinic nikachoma sindano mpaka leo hii maji maji bado yanatoka Tu.Hellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!
Karibuni sana.
A
B
C
D
E
F
Wasiliana na watu wanatokea bukoba...siku hizi kuna dawa unapona kabisa kama mwili bado uko sensitive.Nimepata palalaizi upande wa kushoto mwezi na nusu sasa dawa gani itanisaidia
Bro sure uwa unatumia condoms? Pia unavojitibu mtibu na mwenzi wako. Pia kuwa na mpenzi mmojaNasumbuliwa na gono mwezi wa tatu sasahivi nilienda clinic nikachoma sindano usaha ukawa hautoki tena, nikawa fresh kabisa baada ya wiki mbili nikafanya mapenzi nilitumia condom fresh kabisa, asubuhi nilipo amka nikawa naisi maumivu sehemu zangu za pumbo nikavumilia kama siku mbili nikaenda tena clinic MR Doctor akanipa tena doz ya sindano na vidonge, baada ya wiki mbili nikajihisi nimepona kama kawaida nikafanya tena mapenzi nilitumia condom sema asubuhi nilipo amka nikawanaona kitu kama maji maji mazito meupe yanatoka kwenye ume wangu nikaenda tena clinic nikachoma sindano mpaka leo hii maji maji bado yanatoka Tu.
Hellow wapendwa,