Bukayo Saka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 245
- 360
naomba kufahamu nini kinasababisha UTI sugu kwa wanaume.
amefanyiwa utafiti wowote ule na daktariRafiki yangu anaugonjwa wakuanguka anakuwa kama kazimia alafu anahema kwa kasi nakifua kinapanda sana litakuwa ni tatizo gani?
*UFAHAMU UGONJWA WA KIFAFA NA TIBA YAKE*Hospitali wamempima wanasema hawaoni tatizo lolote. MORIO15
Anakuwa kama kachanganyikiwa akizinduka? Akizimia anazinduka baada ya muda gani? Na je ni kifua tu kinapanda? Hatikisiki au kukakamaa miguu na mikono? Macho kugeuka, kujingata? Habadiliki rangi? Kuna sababu tofauti zinazoweza kusababisha mtu kuzirai ukiachilia kifafa, mfano hypoxia(low level of oxygen) /syncope, hypoglycemia(low level of sugar) n.kMkuu nimeshindwa kuelewa yeye ni wakundi lipi hapo naomba nikuelezee inavyomtokea.Inapenda kumtokea sehemu yenye watu wengi,anaanguka gafla anazimia alafu anakuwa anahema kwa kasi nakifua kinapanda sana juu. kuna kipindi alizimia zaidi ya saa moja ikabidi awahishwe hospitali.lakini siku zakaribuni kaanguka kaamka ndani ya dk 10. hali hii inaniumiza sana maana kuna wakati anakata tamaa ananiambia bora afe.anateseka sana.
MORIO15
Hakakamai na akizinduka anakuwa na masikitiko anafunika uso nafikiri analiaga pia.hatikisiki na anakuwa kafumba macho anahema tuu.anazinduka baada ya dk 5 hadi 10 na habadiliki rangi.
Kama hospitali hawajaona kitu ana tatizo linaloitwa SYNCOPE linasababishwa kushuka kwa msukumo wa damu kwenye ubongo,tukio ambalo linasababisha kupoteza fahamu na hata uwezo wa kudhibiti misuli.Kitendo hiko kinasababisha mtu kuanguka ambapo damu inaruhusiwa kusukumwa kwenye ubongo ikisha mtu fahamu humrudia.Mara nyingi hili tatizo linakuwa linadumu kwa sekunde hata dakika kadhaa.Hakakamai na akizinduka anakuwa na masikitiko anafunika uso nafikiri analiaga pia.hatikisiki na anakuwa kafumba macho anahema tuu.anazinduka baada ya dk 5 hadi 10 na habadiliki rangi.
Si kila ugonjwa una tiba ya dawa. Kisukari anaweza kupima hosp na tiba zipo aina tofauti!Nimeonaga wagonjwa wakifafa wakiwa wamezimia lakini kwa huyu ni tofauti kabisa dah.
Vipi iyo low level of sugar inatibiwaje na je kunauwezekano wa hali hii kumuisha kabisa?
Mm shida yangu ilikuwa kutafuta namna yakumsaidia kimatibabu wakuu.
Hellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!
Karibuni sana.
A
B
C
D
E
F
Hi! Mimi huwa nasumbuliwa na tatizo kwenye mguu wa kushoto kwenye maungio kati ya nyonga na mfupa wa mguu unauma kuanzia kwenye nyonga mpaka kukaribia goti haya maumivu huwa yanaanza pale tu nikifanya kazi za kudeki au kubeba vitu vizito vinavyohusisha kuinama inama,..Hili tatizo lilianza nilivokuwa na ujauzito wa miez 7 mpaka sasa mtoto ana umri wa miaka 2 na miez 8 na jinsi mda unavokwenda ndo maumivu yanazidi mda mwingine nashindwa hata kusimama vizur, naomba msaada wa kujua shida ni nn na tiba yake, asanten.
Dawa alotumia ni sahihi.Ana tatizo la bawasili. Anaweza kutumia upya dawa ya kuweka kwenye njia ya hajakubwa yenye prednisolon/hydrocortisone. Ni muhimu pia ajaribu kuepuka hali hio isitokee tena kwa kufanya yafuatayoNdg yangu anasumbuliwa na uvimbe kwenye njia ya haja kubwa, kwa ndani kidogo imayomletea maumivu japo sio sana, aliwahi patiwa Anusol vidonge vya kuweka ndani ya njia ya haja kubwa lkn baadae ya mda ikamrudia,,, je ni dawa ipi sahihi ya kutumia na nasikia kuna dawa za asili, ni zipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushauri uende ukachekiwa kuhusu ugonjwa unaoitwa PERIPHERAL VASCULAR DISEASE.Ni tatizo linalosababisha blockage kwenye mshipa wa damu(artery) kutokana na atheloscleorosis.Hi! Mimi huwa nasumbuliwa na tatizo kwenye mguu wa kushoto kwenye maungio kati ya nyonga na mfupa wa mguu unauma kuanzia kwenye nyonga mpaka kukaribia goti haya maumivu huwa yanaanza pale tu nikifanya kazi za kudeki au kubeba vitu vizito vinavyohusisha kuinama inama,..Hili tatizo lilianza nilivokuwa na ujauzito wa miez 7 mpaka sasa mtoto ana umri wa miaka 2 na miez 8 na jinsi mda unavokwenda ndo maumivu yanazidi mda mwingine nashindwa hata kusimama vizur, naomba msaada wa kujua shida ni nn na tiba yake, asanten.