Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Hellow wapendwa,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!

Karibuni sana.

A

B

C

D

E

F
Kuna ndugu huwa anasumbuliwa na kiungulia mara kwa mara nyakati za usiku, dawa gani itamfaa Dr?
 
Je unakula aina yoyote ya Iron supplement? Nenda ukachekiwa internally hosp kuna uwezekano una ulcers kwahio una bleed au cancer! Wahi hosp
Kuna kitu nimesahau kukujulisha kiongozi...

Kabla ya haya yote huwa tumbo langu linatabia ya kujaa gesi kama nikila vyakula aina ya maharage, chapati, maandazi nk.

Kuanzia mwezi wa 7 ktk nilikuwa nikijihisi maumivu ktk kifua pindi unapo geuka au kuinama na hata nikikandamiza najihisi maumivu kwa mbali.
Nikaenda Hospital Amana kupiga X - ray pamoja kupima Moyo, majibu yanaonyesha sina matatizo.

Wakanipa dawa ya kutuliza maumivu AROXICAM 15 na CLAVULIN.
Nikaanza kutumia kama siku tatu hivi, nikahisi mabadiliko tumboni haswa kiungulia.
Nameza dawa saa 2 asbh ikifika saa 5 au 6 napata kiungulia. Nakunywa maziwa pamoja na mlo wa mchana kiungulia kinapotea.
Ikifika jioni saa 12 kiungulia kina rudi tena naagiza maziwa kinapotea.

Sasa nikaamua niachane na hizo dawa, lakini tatizo bado, mwisho ndio yakanikuta mkuu kwa maelezo ya hapo juu
 
Write your reply.. Doctor Nina tatizo nimeathirika na punyeto vp naweza Fanya nirudi ali yangu n nguvu z uume kma awali ??
 
Energy drinks ni kweli sinastimulate erection of penis? Na kudelay ejaculation? Kama kweli ipi mechanism yake mwilini?
 
Habari yako,

Nina tatizo la kuwashwa kwa korodani miaka mitatu na nusu sasa.

Nimetumia dawa creams za hospital, pils za anti fungal, dawa za asili nyingi mno sijapona..

Nimemuambukiza kipenzi mke wangu pia.

Sijawahi kuchepuka na sijui chanzo ni nini.

Ugonjwa nilianza kuupata nilipokwenda safarini dsm mwaka 2016 February..

Nifanye nini niweze kupona kabisa????
 
Hellow wapendwa,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!

Karibuni sana.

A

B

C

D

E

F
Nasumbuliwa na gono mwezi wa tatu sasahivi nilienda clinic nikachoma sindano usaha ukawa hautoki tena, nikawa fresh kabisa baada ya wiki mbili nikafanya mapenzi nilitumia condom fresh kabisa, asubuhi nilipo amka nikawa naisi maumivu sehemu zangu za pumbo nikavumilia kama siku mbili nikaenda tena clinic MR Doctor akanipa tena doz ya sindano na vidonge, baada ya wiki mbili nikajihisi nimepona kama kawaida nikafanya tena mapenzi nilitumia condom sema asubuhi nilipo amka nikawanaona kitu kama maji maji mazito meupe yanatoka kwenye ume wangu nikaenda tena clinic nikachoma sindano mpaka leo hii maji maji bado yanatoka Tu.
 
Bro sure uwa unatumia condoms? Pia unavojitibu mtibu na mwenzi wako. Pia kuwa na mpenzi mmoja
 
Hellow wapendwa,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!

Karibuni sana.

naomba kujua dawa effective ya kutoa mimba ya wiki 3-4
gharama zake na zinapatikana wapi
 
51 Reactions
Reply
Back
Top Bottom