mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,944
- 43,358
Kwa uzoefu wako sio!Mkubalie tu mpendwa ila kuacha ni vigumu.

Nakusabahi
Kwa uzoefu wako sio!Mkubalie tu mpendwa ila kuacha ni vigumu.

Sasa jeKwahiyo moyo wake unamtuma achepuke unamshauri afanye kweli?
![]()
Kama ni dume mla "kisamvu" nipombaya zaidi unakuta ni dume ndo limeandika. chai kwanzia story mpaka jinsia.
Kibibi kizee cha torinoMiaka 18 kwenye ndoa ushakuwa zee tena zee la nyeti CHEPUKA TU.
JUVENTUS

ExactlyKibibi kizee cha torino![]()
Kweli kabisa, na aache kusita sita. Afanye kweli.Hahahha auntie afanye vile moyo wake unamtuma apate amani ya moyo
Heee mashkeli mageniMtoa maada anasema ndoa yake Ina miaka 18..nikaamua kwenda kwenye thread zake za nyuma alizoanzisha....nikakuta machai ya kutosha...ebu nisiwamalizie stori nendeni na nyie kufukua kaburi mshangae...2011 alikuwa akitafuta mpenzi,kipindi hiko alikuwa na miaka 23...mpk Leo Ni miaka 10..ila anakwambia ndoa yake Ina 18....
Jf Ni ulimwengu mwingine kwakweli tuendelee kubanana lakini maana HAKUNA namna

Nadhani tumuache, ameshadhamiria...hatatulia hadi aonje vya nje.Mwenza tumshauri au tumuache
A horny mature ebony MILf cheating with young BBC,, hiyo ndo itakua tittleWakuu nadhani shetani yupo kazini, mzee wangu. Anafanya kazi mkoani mimi nipo mkoa mwingine anakuja mara moja au 2 kwa mwezi.
Tuna miaka 18 katika ndoa sijawahi kuchepuka, mwanzoni nilikuwa natongozwa nakataa hapo hapo, ikafikia muda nikitongozwa nakubali ila nawapotezea mpaka wanakata tamaa.
Ikafikia hatua nakubali na naanza safari ya kwenda lodge ila nikifika tu njiani naghairi narudi kwangu, sasa naona kuna kishawishi kinaniambia niwe naenda kabsa nichepuke mara 1 nione inakuaje. Sasa kuna mchepuko anataka kunitoa outing Jumapili, nawaza sijui nimkubalie tu nione vya nje au?
Tunza heshima yako ya miaka 18 utajiepusha na mengiWakuu nadhani shetani yupo kazini, mzee wangu. Anafanya kazi mkoani mimi nipo mkoa mwingine anakuja mara moja au 2 kwa mwezi.
Tuna miaka 18 katika ndoa sijawahi kuchepuka, mwanzoni nilikuwa natongozwa nakataa hapo hapo, ikafikia muda nikitongozwa nakubali ila nawapotezea mpaka wanakata tamaa.
Ikafikia hatua nakubali na naanza safari ya kwenda lodge ila nikifika tu njiani naghairi narudi kwangu, sasa naona kuna kishawishi kinaniambia niwe naenda kabsa nichepuke mara 1 nione inakuaje. Sasa kuna mchepuko anataka kunitoa outing Jumapili, nawaza sijui nimkubalie tu nione vya nje au?
Mkuu VIP tunaruhusiwa kufukua makaburi ? Kwa hali ya makubiri jinsi ilivyo we chepuka tuWakuu nadhani shetani yupo kazini, mzee wangu. Anafanya kazi mkoani mimi nipo mkoa mwingine anakuja mara moja au 2 kwa mwezi.