Nakala za vyeti kutambuliwa na mahakama au wakili ndo inakuwaje

tupeni

Member
Jul 17, 2017
38
16
Habar zenu kama kuna MTU anafaham inakuwaje mbaka au vyeti kutambuliwa na mahakama au wakili process zake inakuwaje wapendwa.
 
Kwani unapeleka copy tu? Mahakama au mwanasheria anafanya certification of copy documents against the original. Wakati anasain na kukonga muhuri copy lazima aone original yake hapo pembeni. Otherwise hawezi kufnya certification bila kuwa na original. Ila wao hawana uwezo wa kutambua fake certificate but a photocopied document against non copies regardless either it is original or fake
 
Back
Top Bottom