Nakala za CDs za kuhamasisha wananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakala za CDs za kuhamasisha wananchi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mzee Mwanakijiji, Sep 28, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Sep 28, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  Natafuta watu ambao watakuwa na uwezo wa kutoa nakala za bure za CD - NIMESEMA ZA BURE - za kuhamasisha. Ndani yake kutakuwemo na tracks kadhaa za mahojiano yangu na wana harakati mbalimbali wa mabadiliko ya kisiasa nchini ambayo baadhi yake hayajawahi kusikika.

  Niandikie kwa barua pepe::

  a. Niambie una uwezo wa kutoa CDs ngapi - minimum CDs kumi
  b. Kwa haraka kiasi gani unaweza kutoa CDs hizo
  c. Na uko maeneo ya wapi - sitochukua wengi wa maeneo ya Dar nataka nje ya Dar zaidi au wale wanaosafiri safiri kwenda nje ya Dar.

  Nitumie mwa barua pepe yangu hapa chini.

  Thanks
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Sep 28, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  Mmh.. haya mabadiliko yana kazi kweli.. watu hawataki kuingia gharama au wanaogopwa kuulizwa? zitakuwa ni CDs za hotuba na mahojiano ya watu kama kina Dr. Slaa, Mnyika n.k
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  CD hizi sitaweza kusadia Taifa?
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Kusaidia taifa kufanya nini? umetoka msalani nini?
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Kwa Jina la Yesu ninauombea mpango huo ufanikiwe
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mtu akiwa ametoka msalani anaonekana, AVATAR YAKO INAJIONESHA
   
 7. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I'm ready to pay someone who will produce the CDs. It would be good though to know how much it costs to produce 10 CDs for budget purpose. I will email ypou Mwanakijiji for further follow-up. I personally thank you for initiating this efforts. it will help many of tanzanians to know Dr. Slaa and those interested in the development of Tanzania. C U
   
 8. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Msg sent!
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Amen Mpendwa....changia sasa, wewe utatengeneza ngapi???
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Sep 29, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  Asante mliowasiliana nitawasiliana nanyi siku chache zijazo maandalizi yakikamilika.
   
Loading...