Najuuuuta kum HACK facebuku..huyu demu!!

Acha uongo huwezi hack account hata kidogo FB sio wajinga kiasi hicho

Unaweza kuhack facebook kwa kumfanya mtu aingize password yake na username kwenye page uliyotengeneza then hizo data unazisoma na kuzitumia baadae kulogin kwenye account yake..ila mpaka sasa hivi hakuna ujanja wa kuhack account ya facebook directly
 
Sasa hili ndio swali la kuuliza hapa jukwaa la tech kweli?Hivi nyie wanasiasa mnatutafutia nini humu kwenye hili jukwaa?We ukiwa huna kazi ya kufanya,si unakuja jf!

Hajajua hili ni jukwaa la nini, labda kapotea njia alitaka kuingia kwenye jukwaa la Siasa
 
sharobalo dogo kakutega utamu. Kazi kwako kaka hamna phisher hapo wala key loger .haha hapo password decryter je unayo
 
labda huyo demu wako aliwahi tumia one of your device kama computer yako au simu. Usitudanganye hapa hata hao magenious anonymous wameshindwa uje weza wewe ni hack mimi emaail yangu pumbavu@jf.com
NILIZANI WEWE NDIYE UNGEELEWA ZAIDI KUMBE HAMNA KITU KABISA KWA HEAD YAKO MKUU....nimeongelea special victim lazima umsome victim wako na Browser anayotumia ni simu....process niliyotumia ni web phishing nikabadilisha Heading sababu yeye anapenda wema na diamond ahaaa mkuu vipi wewe?!!! jifunze bwana sijaongelea kuhack server za FACEBOOK.....
 
HAPANA KIJANA!! nimemtumia link kwa meseji nikamwambia cheki picha za wema na diamond zimevuja ila lazima uingie kwa facebuku ac yako....akafungua na kujaza ila kila ukijaza ina kudirect kwenye orijino page ya face buku so hakuziona picha ila alipo bonyeza logini tu pass na username zake zinakuja kwenye server kama txt file....na browser yake ni simu so use ur big head kuelewa kuwa simu hazina antivirus ya kugundua fake page wala wala browser ya nokia haiwezi kujua fake page!!! hapo vipi?
labda huyo demu wako aliwahi tumia one of your device kama computer yako au simu. Usitudanganye hapa hata hao magenious anonymous wameshindwa uje weza wewe ni hack mimi emaail yangu pumbavu@jf.com
 
Nipe maujanja hayo ni muhack mkwerè.
utakuja juta mkuu usimhack wife ukaumia mwenyewe!!! anyway kama upo serious basi fatisha yale maelezo kwenye link hapo juu....kama huwezi basi jaribu kumshawish afungue link ya tanzania.net23.net akisema amejaribu hajaziona nishtue nitakupa password alizotumia...tumia lugha laini kumshawishi anaweza akakushtukia
 
asante mkuu kwa kutoa darasa safi kweli nimeamini kuna fast learner na slow leaners kazi kweli kweli ila tutafika tu zisi isi jf kaka
Unaweza kuhack facebook kwa kumfanya mtu aingize password yake na username kwenye page uliyotengeneza then hizo data unazisoma na kuzitumia baadae kulogin kwenye account yake..ila mpaka sasa hivi hakuna ujanja wa kuhack account ya facebook directly
 
OK GUYS PAGE INAONEKANA IMEFUNGWA UKIFUNGUA KWA KUTUMIA FIREFOX TU!!!! kufungua hii tumia Opera na IE

ila kumbuka hii nimetengeneza maalumu kwa watumiaji wa simu

so FUNGUA KWA SIMU AU WASHAWISHINI MNAOTAKA KUWA HACK WAFUNGUE KWA SIMU tu

HALAFU NITUMIE EMAIL YA MTU ambaye UMEMTUMIA HII PAGE NA AKAJARIBU KUIFUNGUA KWA SIMU

NA AKAJAZA USERNAME NA PASSWORD NA KUKUJIBU KUWA HAJAONA PICHA ZA WEMA WALA DIAMOND...

then mwambie kuwa basi picha zitakuwa zimetolewa ili kumfanya aachane na kufatilia.

ila fahamu kuwa kama amejaribu kujaza account yake ili aone picha,basi NIMESHA PATA USERNAME NA PASSWORD YAKE.

NISHTUE NIKUTUMIE KWA PM

hakikisha kuwa amejaribu na ameshindwa.
(pia kumbuka sio wote wajinga wengine watakushtukia japo nimefanikiwa kwa ki demu changu haina guarantee kuwa na wewe utafanikiwa)

have funny

cheers
 
sababu umetumia firefox kumbuka page hii ilitengenezwa kwa mtumiaji wa kike anayetumia simu ya mkononi. ndio maana hata title ikavutia kwa kuandikwa habri za umbeaaa kama wem na diamond
Reported Web Forgery!

This web page at PICHA ZA WEMA NA DIAMOND WAKIFANYA MAMBO has been reported as a web forgery and has been blocked based on your security preferences.

Web forgeries are designed to trick you into revealing personal or financial information by imitating sources you may trust.Entering any information on this web page may result in identity theft or other fraud.

Hayo ndio nimekutana nayo baada ya kufungua page yako
 
OK GUYS PAGE INAONEKANA IMEFUNGWA UKIFUNGUA KWA KUTUMIA FIREFOX TU!!!! kufungua hii tumia Opera na IE

ila kumbuka hii nimetengeneza maalumu kwa watumiaji wa simu

so FUNGUA KWA SIMU AU WASHAWISHINI MNAOTAKA KUWA HACK WAFUNGUE KWA SIMU tu

HALAFU NITUMIE EMAIL YA MTU ambaye UMEMTUMIA HII PAGE NA AKAJARIBU KUIFUNGUA KWA SIMU

NA AKAJAZA USERNAME NA PASSWORD NA KUKUJIBU KUWA HAJAONA PICHA ZA WEMA WALA DIAMOND...

then mwambie kuwa basi picha zitakuwa zimetolewa ili kumfanya aachane na kufatilia.

ila fahamu kuwa kama amejaribu kujaza account yake ili aone picha,basi NIMESHA PATA USERNAME NA PASSWORD YAKE.

NISHTUE NIKUTUMIE KWA PM

hakikisha kuwa amejaribu na ameshindwa.
(pia kumbuka sio wote wajinga wengine watakushtukia japo nimefanikiwa kwa ki demu changu haina guarantee kuwa na wewe utafanikiwa)

have funny

cheers

poa poa
 
Back
Top Bottom