blackberry m
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 563
- 415
- Thread starter
-
- #41
Tuko sawa kiaje mkuu? Fafanua kiongozi MpungaHehehe yani yeye NA hawa vitafunwa wote sawa
sasa unatofauti gani nao wakati umejua wanauza pamnyanga ukalaTuko sawa kiaje mkuu? Fafanua kiongozi Mpunga
Sasa unalalamika nini hapo wakati wewe ni Fisimaji na unapenda kukaza? Angalia tu wasikupe ngoma basi.Ilikuwa ni miezi miwili iliyopita nilipochukua uamuzi wa kuhama nyumba niliyokuwa mara ya kwanza.
Kama mtakumbuka ni ile ambayo baba mwenye nyumba aligundua kuwa namgegeda mwanae.
Basi baada ya kuhama nilipata nyumba nyingine maeneo fulani ya Sinza. Baada ya kuhamia hapo rasmi, ilinichukua mwezi kufahamu ukweli halisi kuhusu nyumba hiyo.
Kwanza walikuwa wanaishi wanawake ambao wanajiuza. Hilo nililigundua baada ya kuona kila mmoja anatoka na kurudi usiku mnene na siku nyinginezo hurudi asubuhi kabisa.
Kiukweli japo niliwauma wawili, lakini ilikuwa kabla ya kubaini kuwa hiyo ndiyo biashara yao.
Kitu kingine kinachonifanya nijute ni tabia yao ya kunisema na kunitizama kila nikipita. Hata iwe mchana wananisema na kwa muda wao wenyewe wanakuja na kuniambia kuwa fulani alikuwa anakusema (wanakuja tofauti tofauti).
Baada ya kugundua tabia hiyo, nilisema kuwa njia mwafaka ni kuwatafuna wote na kweli nilifanikisha azma yangu lakini bado wananisema.
Jambo la tatu linalonifanya nijute ni kuhusiana na tabia yao ya kunitumia kama mtu wa kuwafungulia geti.
Hilo linatokana na dirisha la rum yangy kuwa karibu na ukuta wa geti kwa hiyo hunigongea mpaka inakuwa kero.
Nakereka kwani nyakati wakirudi wanakuwa na mawenge ya pombe na wakati mwingine akirudi mmoja basi atang'ang'ania hadi nimkaze. Nimechoka kwelii
Najuuuta kuhama. Bora ningebaki namtafuna mtoto wa mwenye nyumba.
Duh!!! Niliwala baada ya maneno kuzidisasa unatofauti gani nao wakati umejua wanauza pamnyanga ukala
Mkuu maneno yako makali hadi naogopa. Fisimaji alishawahi kutukosa kosa mtoni kiongozi. Najitahidi kuondokana na tania hiyoSasa unalalamika nini hapo wakati wewe ni Fisimaji na unapenda kukaza? Angalia tu wasikupe ngoma basi.
Huna lolote umal..aya umekuponza tulia ikibidi ongozana nao mrudi pamoja mruke ukuta yaani kuhamia NA kuhamia tu ushatoka nyuchi 2Duh!!! Niliwala baada ya maneno kuzidi
Ni kweli umal***a umeniponza lakini siwezi ongozana au jumuika nao tenaHuna lolote umal..aya umekuponza tulia ikibidi ongozana nao mrudi pamoja mruke ukuta yaani kuhamia NA kuhamia tu ushatoka nyuchi 2
Kwahiyo ukieleza kilichokupata ni ujinga? Nyakati nyingine we have to share experiencegeneral hapendagi ujinga na watu kama hawa.
au aliatwa na tetemeko? aje tumemmis jukwaani
Napata wakati mgumu sana. Ila kuanzia leo ni mwendo wa kufungulia redio kwa sauti na kulala hata wagonge namna gani siwafunguliiWapo wangapi mkuu na wote umewagegedaa duuh sasa wamekugeuza mlinz wa kuwachngulia duh
Na inapaswa upime maradhi yote ili uanze ukurasa mpya ukiwa mpyaNapata wakati mgumu sana. Ila kuanzia leo ni mwendo wa kufungulia redio kwa sauti na kulala hata wagonge namna gani siwafungulii
Nimecheki. Ukurasa umeshaanza kuanzia leo. Full mikausho muda woteNa inapaswa upime maradhi yote ili uanze ukurasa mpya ukiwa mpya
Hawa si wa kuishi nao mkuu.Jifunze kuishi na watu wa aina mbali mbalimbali
Kwanin kiongozi?Daaah hapo mme match na hao madada akili zenu ni same