Sawa kiongozi. Nitazingatia ushauri wakoSawa Mkuu, Angalia usije kukutana na Muumba wako kwa Mara ya kwanza akiwa katika ghadhabu.
Si afadhali hata wangekuwa wanakisema kibamia changu ningejua nifanyaje?Wanakusema una kibamia au nini hasa?
Kuwa wazi mkuu.
Hahahaaa hahahaaa. Sipendagi utumbo mkuu. Kuna mmoja hakujifichaga wakati namla aliniambia kuwa baba na huku. Nilimwambia tu kuwa sili utumboDah ulishawatafuna wote ila bado2 embu jaribu kuwa 0712
Sawa.Sawa kiongozi. Nitazingatia ushauri wako
Noted mkuu. Ukiwaza hivyo lazima uwe mpoleSawa.
Mimi mwenyewe naingiaga katika majaribio na mengi nashindaga japo Yale yakibabe napigwaga kipigo heavy.
sema nikiwaza habari za Kukutana na Mungu kiukweli nakuwa mpole.
Sijawahi kumwona Mungu wangu sasa naogopa nisije kumwona kwa Mara ya kwanza akiwa ameghadhibika na matendo yangu
Dah we noma hukutaka kuchezea msingi wamaj machafuHahahaaa hahahaaa. Sipendagi utumbo mkuu. Kuna mmoja hakujifichaga wakati namla aliniambia kuwa baba na huku. Nilimwambia tu kuwa sili utumbo
Tobaaaaaa...Si afadhali hata wangekuwa wanakisema kibamia changu ningejua nifanyaje?
Wananisema kuwa naringa, najisikia, siwapendi na wala sipo tayari kuwasaidia ilhali tangu nihamie hapo hawakuwahi kununua luku tena
Mambo kuogelea mtaroni wakati mto upo, yanahitaji moyo wa chuma kiongoziDah we noma hukutaka kuchezea msingi wamaj machafu
Hilo ndilo linalonifanya nijutie kuhamia hapo mkuu. Wananisema hadi nyakati nyingine nagadhibikaTobaaaaaa...
Kuwakaza kote huko hawaoni ni msaada kwao au wanataka uwasaidieje mkuu?
Hakuna chumba cha ziada hapo nije tuwe mashababi wawili?Hilo ndilo linalonifanya nijutie kuhamia hapo mkuu. Wananisema hadi nyakati nyingine nagadhibika
Ingelikuwa hata wewe mkuu ungewasikiliza tu kwani wanakuja na gia tofauti tofauti na kati kati ya mazungumzo huingiza umbea wao.Mwe mjini raha, yaani ule maandazi yao bila malipo ulitegemea nini, malipo ndiyo kukatisha usingizi na kufungua gate. Inaelekea wewe pia unapenda umbea, usingependa umbea usingeruhusu kusikia fulani anakusema nini.
Hahahhaaaa hahahaaaa. Hakipo kwa sasa ila nikiwa nahama nitakutaarifu mkuu na wewe uje usemweHakuna chumba cha ziada hapo nije tuwe mashababi wawili?
Na kibaya zaidi wanayajua maumbile yako, basi wanapokusema wanasimuliana mpaka jinsi unavyocheza sindimba😛Ingelikuwa hata wewe mkuu ungewasikiliza tu kwani wanakuja na gia tofauti tofauti na kati kati ya mazungumzo huingiza umbea wao.
Kiukweli mimi si muumini wa hayo mambo ya shilawadu hata kidogo lakini unachoambiwa na unachokiona yakupasa uvizingatie.
Ukiyapuuza yote kwa kisa eti ni umbea unakuwa unakosea
Hapo sasa ndipo nilipokoseaNa kibaya zaidi wanayajua maumbile yako, basi wanapokusema wanasimuliana mpaka jinsi unavyocheza sindimba😛
Hiyo vita peke yangu siitaki, nani kila siku apande mbegu [emoji97] kweny ardhi isiyozaa!!!Hahahhaaaa hahahaaaa. Hakipo kwa sasa ila nikiwa nahama nitakutaarifu mkuu na wewe uje usemwe
Acha uoga mkuu. Uje tu uvumilie walau kwa miezi miwiliHiyo vita peke yangu siitaki, nani kila siku apande mbegu [emoji97] kweny ardhi isiyozaa!!!
Hehehe yani yeye NA hawa vitafunwa wote sawaMwe mjini raha, yaani ule maandazi yao bila malipo ulitegemea nini, malipo ndiyo kukatisha usingizi na kufungua gate. Inaelekea wewe pia unapenda umbea, usingependa umbea usingeruhusu kusikia fulani anakusema nini.