Najuta

Najuta

Kumuita MTU mfupi hiyo ni bullying au unyanyasaji wa kisaikolojia wa kumfanya MTU asijiamini .

Binafsi nikiona MTU anamuita MTU mfupi ili Kum-torture psychologically nakuwa namuona hajitambui

Kwakuwa I don't think Kama kuna MTU aliji design hivyo
Wee mfupi
 
Mkuu unatumia akili nyingi kumjibu mtu ambaye kwa maandishi yake tu inaonekana ni mjinga?
 
Back
Top Bottom