Najuta

Najuta

Pole unaonekana na wewe mfupi andunje .... ufupi sio kirema mkuu...ni disadvantage ....

Pia kuanzia leo nimekuteaua kuwa waziri wa watu wafupi jamii forum cheo chako andunje ....
Najua utabisha wewe sio mfupi ila ulivyoandika nimejua wewe ni andunje

Naomba usibishe kabisa maana ukibisha ndo tutaamini kabisa ule msemo wa watu wafupi wabishi sana ...jilindie heshima usibishe
😂😂
 
Acha hizo mkuu si vizuri aisee unakosea jamaa kaeleza vizuri sana au labda kama unatafuta sifa mitandaoni
 
Kumuita MTU mfupi hiyo ni bullying au unyanyasaji wa kisaikolojia wa kumfanya MTU asijiamini .

Binafsi nikiona MTU anamuita MTU mfupi ili Kum-torture psychologically nakuwa namuona hajitambui

Kwakuwa I don't think Kama kuna MTU aliji design hivyo
Kwakuwa wewe ni mfupi
 
Kumbe ni kweli mapenzi sio ya kuendekeza?

Wanaume wabaya sana hasa akiwa mfupi
Hii forum imebadilika sana ,nyuzi kama hizi moderators hata hawashughuliki nazo ,ila maelfu ya nyuzi za maana mods wanazifuta , Hadi nahisi mods wa jukwaa siku hizi ni waajiliwa wa mfumo Beee
 
Kumbe ni kweli mapenzi sio ya kuendekeza?

Wanaume wabaya sana hasa akiwa mfupi
Hujajuta vizuri, jaribu ma kwetu warefu halafu ukawa na kisirani utajua hujui, unaliwa sana na unaachwa bila sababu😂😂
 
Hakuna mwanaume anakuwa na ulemavu WA ufupi huyo sio mwanaume ni mlemavu wewe ulitoa k kwa mlemavu.hongera.umepata ulichokitafta
 
Back
Top Bottom