Najuta

Najuta

Kumbe ni kweli mapenzi sio ya kuendekeza?

Wanaume wabaya sana hasa akiwa mfupi
Kumuita MTU mfupi hiyo ni bullying au unyanyasaji wa kisaikolojia wa kumfanya MTU asijiamini .

Binafsi nikiona MTU anamuita MTU mfupi ili Kum-torture psychologically nakuwa namuona hajitambui

Kwakuwa I don't think Kama kuna MTU aliji design hivyo
 
Kumbe ni kweli mapenzi sio ya kuendekeza?

Wanaume wabaya sana hasa akiwa mfupi
20250419_205449.jpg
 
Kumbe ni kweli mapenzi sio ya kuendekeza?

Wanaume wabaya sana hasa akiwa mfupi
Kama Ww Ni Mwanamke Mrefu Na Huna Heshima Na Unadharau,usi Date Na Wanaume Wafupi Maana Hawanaga Simile Kwa Watu Wanao Wanawakosea Hasa Wanawake,maana Huingiza Fikra Za Maumbile Yao Kama Chanzo Cha Kukosewa,
Kwaio Inaonyesha Ww Kama Mwanamke Unashida Hizo Jirekebishe,usilaumu Bure.
 
Kumuita MTU mfupi hiyo ni bullying au unyanyasaji wa kisaikolojia wa kumfanya MTU asijiamini .

Binafsi nikiona MTU anamuita MTU mfupi ili Kum-torture psychologically nakuwa namuona hajitambui

Kwakuwa I don't think Kama kuna MTU aliji design hivyo
Pole unaonekana na wewe mfupi andunje .... ufupi sio kirema mkuu...ni disadvantage ....

Pia kuanzia leo nimekuteaua kuwa waziri wa watu wafupi jamii forum cheo chako andunje ....
Najua utabisha wewe sio mfupi ila ulivyoandika nimejua wewe ni andunje

Naomba usibishe kabisa maana ukibisha ndo tutaamini kabisa ule msemo wa watu wafupi wabishi sana ...jilindie heshima usibishe
 
Back
Top Bottom