Najuta sana

Njia salama ni kwenda na polisi vinginevyo anaweza kukutana na haya
1. Utakuta mzee anamiliki bunduki, anawapiga risasi kama wezi
2. Baada ya kumfanyia vurugu, mzee ataenda polisi na kudai ameibiwa pesa milion 20. Sijui unaanzaje kijitetea wakati kweli ulienda na watu ukafanya fujo.
Mambo siyo rahisi kama unavyofikiria
 
Ila jamaa akili fupi aisee.

Unazagamulia ndani ya nyumba ya mzee.
Kwa akili ya kawaida tu unadhani mzee hana wasiwasi kumuacha huyo binti na kijana barobaro kama wewe.

Okay nenda polisi mkuu, mkutanie hukohuko. Ama lah mtafute mzee mwsnyewe kwa simu muyajenge ila usioneshe unyonge saana, atakutesa.
 
Write your reply...chakukushahuri hama mji..au achana navitu vyako huyo mzee hawezi kukuacha salama atakufilimba na atakupoteza akikushika..haiwezekan umlie mkewake hatamwezi haujaisha toka amlete ukijipeleka polisi umekwisha mzee inaonekana nimtu mkubwa pesa ipo atakupoteza
 
Unachakata mali ya mtu kwake jamaa angu, pole ila walioshauri uende polisi wapi sahihi, ila tafuta mganga mapema kabla hujafata vitu vyako, nilihisi tu kwa mzee kutakua na camera na ndo maana alipoondoka last time hakukuaga,poleeee ......ajali kazini tunaitaga iyo
 
Mwamba ungevuliwa kama samaki wa maji ya kina kifupi
 
Kwaiyo toka uo mwezi wa 2 mpaka leo mwezi wa 5 vp au ndo mzee kashakutoa auti
 
Mapenzi yenu yalizidi mipaka. How can you dare kulala na mwanamke kwenye nyumba na kitandani mwa mwanaume wake??

Huyo hata akienda kwa Sangoma ana vitu vya kutumia kukushughulikia.

Bora ujipeleke tu wakufulimbe umalize huo msala na uchukue vitu vyako😂😂😂. Vinginevyo usipoenda utapoteza vitu vya muhimu kama vyeti na bado atakuroga.
 
Hii story mpka leo hatujaiona mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…