Najuta sana

NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA KWA WALE MSI00NA...

MPK JI0NI NITAWAPA MREJESH0, KWA KIASI MAMB0 YANAMEKUWA BULL BULL..

MNA0P0NDA MIE KUTUMIA MKONG0 NI WAPUUZI SANA,KILA MTU HUMU DUNIANI ANA KAUPUUZI KAKE,(ila situmii tena)

NIMEWAPA STORY NZIMA BILA KUFICHAFICHA MAMB0...

WENGINE MNA0SEMA NIMELIWA PIA NI WAJINGA INAMAANA HAMKUS0MA VIZURI,NANI KASEMA NIMELIWA..?

KUNA WATU WAMET0A USHAURI MZURI SANA HUMU NA NDI0 NIMEUFANYIA KAZI JAP0 NIMEJIT0A UFAHAMU...(BIG UP JAMIIFORUMS) MAMB0 YA KUPEANA USHAURI HAKUNA INSTAGRAM WALA FACEBOOK ILA HUKU JF UNAP0NDWA,UNATUKANWA ILA NA USHAULI UNAPEWA...

ILA Y0TE KWA Y0TE MKE WA MTU SUMU,VIJANA KAMA UNAJUA UNATEMBEA NA MKE WA MTU ACHA YATAKUKUTA MAKUBWA ZAIDI YA YANGU.. IMAGINE NISINGEENDA NUNUA CHAKULA INGEKUWAJE??WANGENIKUTA NDANI MULE DAH SAA HII MALINDA YANGU YANGEKUWA YAMEFUMUKA,NAKUNYA OVYO,TAK0 L0TE LAINIIIIIII,NI PWAAA PWAAA PWAAAA...

KUNA MI WATU INAJADILI MIMI KUANDIKA 0 BADALA YA o Hahah YANI ZER0 KWENYE o PIA NI LA KUKASIRIKA...OVYOO KABISAA...

KWA WALE WASHENZI MLI0SEMA HII NI CHAI MTAJUA WENYEWE,MLITAKA NISEME (wale jamaa walinikuta wakanila tak*) BASI HAP0 NDI0 MNGESEMA HII SI0 CHAI...PUMBAVU

ALL IN ALL NIMEJUTIA HILI NA HALITAJIRUDIA KABISA...
 
Mdogo umeyakanyaga
 
Wewe nimekwambia ksbb tayari umeshajua nguvu ya mpinzani wako,wewe tafuta na wewe mbavu zaidi ya wale aliowaleta mzee,ongezea na wa karete. Ksbb wa mzee wako 3 wewe chukua wako wawe 6. Wape mchongo wote kwamba kuna mzee ananizingua kaniwekea na ulinzi wa mabaunsa. Kwa hiyo nataka nikachukue vyombo vyangu kuna laki 3 twendeni nikachukue vyombo vyangu. Kiulani unaondoka na vyombo vyako
 
Unakuta mzee ni kitengo
 
Shida nini
 
Hicho ndio kitu rahisi kwake. Ksbb tayari ameisoma nguvu ya mzee. Yeye aandar nguvu zaidi kwa laki 3 awambie twendeni tukachukue vyombo vyangu. Awaambie Hali halisi ya pale ilivyo nguvu watakayokutana nayo. Mbona kirahisi tu anaondoka
Mbele ya hela unaweza kugeukwa na hata usiowatarajia. Anaenda pale na watu wake, mzee anawapandia dau wale majamaa na anawahaidi kuwalipa mara mbili zaidi ili wakugeuke. Mbona namba utaisomaa!
 
Mbele ya hela unaweza kugeukwa na hata usiowatarajia. Anaenda pale na watu wake, mzee anawapandia dau wale majamaa na anawahaidi kuwalipa mara mbili zaidi ili wakugeuke. Mbona namba utaisomaa!
Anatakiwa achukue washikaji zake wale wa damu sio wa kuokota barabaran
 
Ndio utufokee kwa maherufi makubwa
,umechukua ushauri upo
 
Mbele ya hela unaweza kugeukwa na hata usiowatarajia. Anaenda pale na watu wake, mzee anawapandia dau wale majamaa na anawahaidi kuwalipa mara mbili zaidi ili wakugeuke. Mbona namba utaisomaa!
Hakuna kitu kama hicho kupanda dau ni kitu cha kujipanga. Sasa umefika na watu wako,hakuna maongezi hapo,ni kama vurugu fulani. Mzee na watu wake watapigwa na butwaa ni kitu ambacho hawakukitegemea. Hapo wamekuja kazi kazi watapata wapi muda wa kukubariana na mzee?.
 

Hii ni story ya kutunga, ingawa ni ya kutunga, nakupa tahadhari mqisha ya hivyo unacheza na kifo.

Bastola/Pistol tena Springfield garisson XD-M elite 22 rounds muhimu sana kuwa nayo, watu mnatafuta kumalizwa maishani wenyewe tu..

Mtu unaandika upuuzi, ukiuliwa ndio utajua kifo umekitafuta mwenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…