Najuta sana

Jamaa zangu wa kataa ndoa ikitokea hali kama hii, unakuwa na machaguo mawili2, either uoe ukubali maumivu ya kuchapiwa au upasuliwe ngoma.
 
Tafuta watu serious waende polisi waseme wao n ndugu zako hupatikani na hawajui ulipo na Mara yamwisho waliongea nawewe ukawaambia mwenye nyumba wako amekutishia maisha kisa unatembea na mfanyakazi wake hvyo wanahisi mwenye nyumba anahusika na kupotea kwako.

Kwakuwa hao watu watakua watu serious Basi wakianza hyo ligi baada ya siku kadhaa waombe ruhusu ya kuchukua Mali za mtu aliepotea huenda zote au zile chache muhimu movie hyo isichukue siku nyingi Yan siku Saba zinatosha wakaze sana na wajue target yao n kuchukua vitu vyako hvyo kila wakiongea waeajenge kisaikolojia mapema polisi ili iwe rahisi kupata vitu vyako.

Ila ujinga uache ushajua n mke wa mtu Tena mzee mwenye nyumba na bado unaenda kukalanae kwenye kitanda,makochi na jikon kwa mwenye nyumba na tena unampakia mkongo sasa hapo hata shetani anakukataa.
 
Wewe ni mtu mpuuzi kwa sababu zifuatazo;
1. Kijana mdogo kutumia mkongo. Unajimaliza.
2. Kutumia muda mwingi kutazama movie na kucheza game.
3. Kumla mke wa mtu nyumbani kwake. Huu ni upuuzi wa kiwango cha juu kabisa. Na kwenye stori yako umesema ulishawahi kumla kwenye parking ya gari.

Kwa jinsi ulivyomwelezea huyo mzee hakuna kitu unaweza kumfanya hata ukienda polisi. Ubaya ana ushahidi kabisa. Ninakushauri mambo mawili;
1. Achana nae kaanze maisha upya maana hapo mambo yashaharibika.
2. Ukikataa ushauri wa kwanza hapo basi huna budi kuolewa naye uwe mke wa pili.
 
Anaweza akajifanya mwema, kisha gari la kuhamisha vitu vyako likiondoka, anamtuma bodaboda akufuatilie kwa siri mpaka ajue ulipohamia.
 
NENDA kwa maafande kama watatu HIVI kawaeleze Kila kitu halafu wakupeleke ukachukue vitu vyako halafu watamwambia Bo's kuwa tunajua yote yaliyojiri hivyo muache muhusika achukue vitu vyake na wewe kafungue kesi ya madai mahakamani!

Watamsimamia na Boss hatofanya lolote na hao VIJANA wake!

Jaribu kuongea na maafande kadhaa wakusaidie mawazo pia kwenye hilo!!
 
Yaani nimedinda balaa

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 


Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Chai hii ..eti wanapasha wanazunguka..

Kama kweli unaweza mpanga polisi mmoja mwenye silaha na mwingine wakakupiga Pingu mkaenda Hadi hapo ikawa kama uko chini ya ulinzi ulachukua kwanza vya muhimu...na Mzee akaelezwa Una Kesi ya ujambazi .akahojiwa kiaina ...baasi...

Next time unatumia watu wanabeba vilivvyo Baki ila lazima uhamie huo mkoa
 
Kama sio chai achukue huu ushauri pia sio mbaya....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…