Najuta nimezaa nje ya ndoa, ushauri wako muhimu sana

Wadau wakati mwingine katika maisha tunafanya mambo ambayo ukikaa utulie unajiona mpumbavu na kutoamini kama kweli ni wewe umefanya au ulirukwa na akili.

Mkasa ulio nikuta ni matokeo ya uzembe wangu ambao naujutia hakuna mfano, so naomba ushauri wako badala ya kuendelea kunihukumu kwani tayari nimejifunza

Mwaka juzi tulienda kwenye shughuli fulani mkoani kwetu kwa wiki mbili, na katika katiza katiza za hapa na pale nikapata kabinti kamoja nikaanza nako uhusiano huku nikiwa na mke wangu na watoto wawili ambao niliwaacha Dar,
Kibaya zaidi mazingira tuliyokuwepo kondom zikawa hakuna na nikafanya kosa la mwaka kwa kujamiiana naye bila kinga.

Baada ya shughuli kwisha nikarudi Dar na kuendelea na maisha na nikawa sina tena mawasiliano na yule binti kwani alikuwa hana simu,hata hivyo ilikuwa ni kama hit and run

Sasa mwezi machi nikaenda likizo mkoa na familia, tukiwa katika wiki ya mwisho kama bahati nikakutana na yule binti akiwa na rafiki yake wote wamebeba watoto, basi yule binti kuniona tu alishtuka na kupiga kelele almanusura anguke na kuzirai, akaja akanikumbatia na kunishikilia kwanguvu huku akilia na kuongea maneno yaliyonichangaya kabisa.

Ikabidi tutafute sehemu tukae atulie kisha akamtoa mtoto mgongoni na yule wa rafiki yake akasema wanao hawa wako mapacha.
Kiukweli nilipo waona tu roho ilipasuka maana kitu fotokopi,huitaji hata mtaalamu kubaini kama wale watoto ni wangu kwani tumefanana nao mno.

Baada ya maongezi marefu nikajiridhisha kuwa watoto kweli ni wangu kwa mujibu wa maelezo yake na mfanano wa watoto.
Na akanieleza jinsi alivyohangaika kunitafuta kwani hakuwa hata anajua ninapokaa nikiwa mkoa na jina nilimpa la uongo hivyo na watoto kawapa jina hilo kama ubini wao.

Ilibidi nimpatie pesa ya matumizi kwanza palepale na nikachukua tax na kuwapeleka kwao kwa ahadi kuwa nikapajue kwao kisha kesho yake ntakwenda na wazee kujitambulisha kama mimi ni baba wa watoto wale,akanipa namba zake za simu alikuwa nayo nikazuga nita mbeep nkiweka vocha kisha nikaondoka bila kushuka na kusalimia kwao na nikamwambia asiseme kitu kwanza nijipange kwani anaishi na wazazi wake.

Niliporudi home nikajiuliza usiku kucha sikupata majibu,
Nampenda mke wangu na ananiamini sana kila nikifikiaria akijua akili haikubali, nahisi nitaharibu familia yangu
Baada ya tafakuri ya muda mrefu nikafanya maamuzi ambayo nayo naona yanaanza kunishinda ndio maana nipo hapa kwa ushauri wenu.

Nilichoamua ni kuhakikisha natunza siri hii peke yangu, nikaamua kesho yake nikanunua line mpya ya simu na kuisajili jina lile feki nikampigia simu kuwa nimepata dharura nimeondoka alfajiri na nikamtumia pesa laki3 kwaajili ya matumizi na kuahidi nitarudi soon.
Baada ya hapo nikamaliza wiki yangu mkoa nikiwa nashinda home tu hadi nilipoondoka na familia kurudi Dar.

Huu ni mwezi wa 6 sasa ninachofanya ni kila mwezi natuma laki moja ya matumizi kwa ile line na kama anataka kunitaarifu kitu labda watoto wanaumwa basi atatuma meseji na mimi kila siku jioni huwa naweka line ile kwa muda mchache na kuangalia kama kuna ujumbe au nataka kujua jambo then naitoa.

Nafanya haya yote kujaribu kuprotect familia yangu lakini pia kuhakikisha watoto wale wanapata huduma kama watoto wengine.

Siku za karibuni presure toka kwa wazazi wa yule binti imekuwa kubwa, wanataka kunijua na kubeba jukumu kama baba kweli na si kutuma tu pesa wakati hawamjui mzazi mwenza wa binti yao, wamejaribu sana kuni trace bila mafanikio maana kila nikiwasha ile line jioni nakutana na sms kali kali kuto kwa wazazi wake, wanaongea maneno makali hadi kufikia kunitisha.

Hakuna ndugu yangu anajua maana niliogopa angeweza kusababisha mimi kujulikana kitu ambacho sipo tayari kitokee kwani mke wangu akijua nahofu ya kupoteza furaha ya familia yangu

Lakini pia wakati mwingine nawafikiria wale watoto wanahitaji baba anayeoneka hata kama sita ishi nao .
Pia najiuliza ni kwa muda gani nitaweza kukaa na jambo hili peke yangu huku likinipa hofu na kuniondolea furaha ambayo ndio naogopa kuipoteza kwenye familia yangu

Wakuu naombeni mawazo yenu tafadhali, kama ni kosa limeisha fanyika lakini I feel like I can't hold it anymore, but when I think about my family I got stuck[/
paulss

NINAVYOKUSHAURI HAIMAANISHI UMENIFURAHISHA NO!nimekasirika na umeniudhi kweli kweli ila upande mwingine nakuonea huruma ila sasa ndo imeshatokea,hapa kuna nafasi kama nne hivi za kuzifikiria kabla hujafikia uamuzi wowote!
MKEO
kwanza ataumia sana na hakika haijalishi amejua lini iwe sasa,baadae hata baada ya wewe kufa it hurts still!yapo haya yategemee,kwanza hatakuamini tena!pili atahofia stability ya ndoa yenu,lakini pia atahofia usalama wa watoto wake na kubwa zaidi atajiuliza usalama wa afya yake.SO KATIKA REACTION YOYOTE atakayokuwa nayo give her some time to heal her wounds away!usimlazimishe kusamehe maana msamaha hutoka ndani ya mtu!
NDOA YAKO!
kuna uwezekano sana haitakuwa kama ilivokuwa zamani,itashake!RELAX!usiendelee kuiangusha kabisa kwa wewe kushake nayo!ipatie support ya MAOMBI!kwa uzoefu nilionao ndoa nyngi sana that includes mine hupita hapa haijalisha mazingira huweza kutoautiana vipi.NI SAWA UMEKOSEA LAKINI STILL GOD IS THERE!
WATOTO WAKO
Inategemea wapo kwenye age gani,kama ni wadogo sana ni afadhali since watajikuta wamekua wakubwa tayari wana ndgu wengine lakini kama ni wakubwa kiasi cha kupambanua mambo wao wanaweza wakajikuta wamekuchukia maan umemuumiza mama yao,na mara nying watoto huwa wanaside na mama zao kunapikuwa na crisis kama hizi since sisi huwa tunareverse the role btn us and the kids tunapokuwa depressed.So kama wanafall kwenye category ya pili jaribu kuzungumza nao pia na wasaidie kuwaelewesha kwamba they are still number one NA UNAWAPENDA SANA.
NDUGU/JAMAA/MARAFIKI
Hawa si muhimu sana wajue wote u can talk to ur parents,kaka yako mkubwa au dada yako mkubwa ukimpa kama taarifa kuwa una watoto mahali fulani LAKINI usiwape nafasi ya kukuamulia ufanye nini juu ya hilo since hawajui familia yako inapita kwenye wakati gani kwa huo muda ,HIVYO KUWA MAKINI SANA KUWAAMBIA UKIWA HUJAPATA UHAKIKA WA NINI UFANYE
HUYO DADA ULIYE ZAA NAE!
Face her na umwambie ukweli kuwa umeoa na una watoto wengine,kitendo cha kulia alipokuona inaanisha alisahjua umepotea na hatakuona tena,mueleze unavyoplan kulea hao watoto na kutimiza wajibu wako kama baba,lakini tell her the truth that it is also over between yu and her,so she shudnt use the twins as an excuse to validate kuwa wewe ni mume wake.(well si lazima utumie maneno yangu but u will check how yu can best tell her )
WAZAZI WA HUYO BINTI
wat they need ni assurance ya malezi ya wajukuu so give them kwa ndug zako kuwatambua watoto.

KATIKA YOTE MUOMBE SANA MUNGU AKUPE BUSARA NA AKUFANIKISHE UPITE HAPA SALAMA!
 
Last edited by a moderator:
Pole kwakua na wakati mgumu lakini kwa mwanamme sidhani kama hilo nitatizo lakukunyima usingizi,wewe umeoa hujaolewa
chakuogopa kitu gani kwa mkeo? au ulipo fanya mapenzi na huyo bint bila kinga ulitegemea nini? usiwe mwanamme suruali
kua mwanamme mwenye mamuzi,kumbuka kua ha watoto wewe ndio baba yao kama walivyo hao wengine na wana haki
ya kua na wewe kwenye maisha yao kama wenzao, sikwambi kama nirahisi kumueleza mkeo lakini kama unania njia utaipata na mungu atakupa nguvu, kumbuka hujui nani atakufaa kwenye hii dunia kati ya watoto wako...
 
Pole sana mpendwa nimejiweka upande wako na kujikuta nasikitika sana.
Cha msingi andaa mazingira mazuri ya kuongea na mkeo
Mwambie juu ya hili na pia umuombe msamaha kwa katika hali ya kujutia
Najua sisi wanawake huwa tunapanic kwa muda give her time..baada ya muda itamuingia akilini na atakuelewa bila shaka
Ni wewe unamjua mkeo yuko vip lina ana furaha na lini ana huzuni

Na akiwa na furaha anakuwaje ,pia akihuzunika anakuwaje
Lakini cha msingi mweleze kweli
Hata kama hataaccept fact leo au kesho baada ya muda ataelewa janga lipo .
Baada ya hapo utakuwa huru kuwatunza wanao
 
mkuu paulss nimekutumia pm.namna ya kulimaliza hili
 
Last edited by a moderator:
Duh nimeamini JF kuna wataalamu wa kila fani Mkuu wangu paulss ushauri wa The Boss naona kama una mashiko kiasi fulani ebu jaribu kuufanyia kazi mara moja ingawa kuna wanawake wengine vichaa ukifika hiyo hatua ya pili na tatu wanaweza kukumwagia uji wa moto.Pole sana ndugu yangu hali uliyonayo hakuna mwanaume mwanandoa atakayeitamani labda kichaa.

mara nyingi sana
binadamu tunakuwa na kawaida ya kuona 'matatizo' yetu kama makuubwa sana

kumbe wapi....

ni madogo mno.......ukiyakubali na kuyachukulia kuwa ni madogo

Ongea na mkeo taratiibu
nenda nae kwa step......

1. hatua ya kwanza mwambie kuwa ulitoka nje.....na uombe msamaha

2.hatua ya pili jifanye huna uhakika kuwa huyo binti alizaa watoto wako au la
unataka ku find out

3.hatua ya tatu....unamwambia intention yako ya 'kulea watoto kama ukithiitisha ni wako'
 
Last edited by a moderator:
Sikia kijana anza anza kupiga story na mke wako namna hii.

Jidai una rafiki yako ndo kafanya vile afu some majibu ya mke wako, mke wako akisema kama rafiki yako amwambie tu mke wake, basi geuza kibao pale plae useme kwa kweli sio rafiki yangu...ni mimi ndo nilio fanya hayo.
 
nilijua tu watu wenye mitazamo hasi kama huyu watacoment tu, kabla sijamaliza kuwaza, comment ya kwanza ndo mulemule..........
sasa wewe Zipuwawa ndo umemsaidiaje na iyo comment yako.........?

Unafikiri kumwambia akaombe msamha kwa mkwe wake si ushauri? au ulitaka nisemaje hapo zaidi ya kukemea tabia za kizinzi zifanywazo na wana Ndoa?
 
wadau wakati mwingine katika maisha tunafanya mambo ambayo ukikaa utulie unajiona mpumbavu na kutoamini kama kweli ni wewe umefanya au ulirukwa na akili.

Mkasa ulio nikuta ni matokeo ya uzembe wangu ambao naujutia hakuna mfano, so naomba ushauri wako badala ya kuendelea kunihukumu kwani tayari nimejifunza

mwaka juzi tulienda kwenye shughuli fulani mkoani kwetu kwa wiki mbili, na katika katiza katiza za hapa na pale nikapata kabinti kamoja nikaanza nako uhusiano huku nikiwa na mke wangu na watoto wawili ambao niliwaacha dar,
kibaya zaidi mazingira tuliyokuwepo kondom zikawa hakuna na nikafanya kosa la mwaka kwa kujamiiana naye bila kinga.

Baada ya shughuli kwisha nikarudi dar na kuendelea na maisha na nikawa sina tena mawasiliano na yule binti kwani alikuwa hana simu,hata hivyo ilikuwa ni kama hit and run

sasa mwezi machi nikaenda likizo mkoa na familia, tukiwa katika wiki ya mwisho kama bahati nikakutana na yule binti akiwa na rafiki yake wote wamebeba watoto, basi yule binti kuniona tu alishtuka na kupiga kelele almanusura anguke na kuzirai, akaja akanikumbatia na kunishikilia kwanguvu huku akilia na kuongea maneno yaliyonichangaya kabisa.

Ikabidi tutafute sehemu tukae atulie kisha akamtoa mtoto mgongoni na yule wa rafiki yake akasema wanao hawa wako mapacha.
Kiukweli nilipo waona tu roho ilipasuka maana kitu fotokopi,huitaji hata mtaalamu kubaini kama wale watoto ni wangu kwani tumefanana nao mno.

Baada ya maongezi marefu nikajiridhisha kuwa watoto kweli ni wangu kwa mujibu wa maelezo yake na mfanano wa watoto.
Na akanieleza jinsi alivyohangaika kunitafuta kwani hakuwa hata anajua ninapokaa nikiwa mkoa na jina nilimpa la uongo hivyo na watoto kawapa jina hilo kama ubini wao.

Ilibidi nimpatie pesa ya matumizi kwanza palepale na nikachukua tax na kuwapeleka kwao kwa ahadi kuwa nikapajue kwao kisha kesho yake ntakwenda na wazee kujitambulisha kama mimi ni baba wa watoto wale,akanipa namba zake za simu alikuwa nayo nikazuga nita mbeep nkiweka vocha kisha nikaondoka bila kushuka na kusalimia kwao na nikamwambia asiseme kitu kwanza nijipange kwani anaishi na wazazi wake.

Niliporudi home nikajiuliza usiku kucha sikupata majibu,
nampenda mke wangu na ananiamini sana kila nikifikiaria akijua akili haikubali, nahisi nitaharibu familia yangu
baada ya tafakuri ya muda mrefu nikafanya maamuzi ambayo nayo naona yanaanza kunishinda ndio maana nipo hapa kwa ushauri wenu.

Nilichoamua ni kuhakikisha natunza siri hii peke yangu, nikaamua kesho yake nikanunua line mpya ya simu na kuisajili jina lile feki nikampigia simu kuwa nimepata dharura nimeondoka alfajiri na nikamtumia pesa laki3 kwaajili ya matumizi na kuahidi nitarudi soon.
Baada ya hapo nikamaliza wiki yangu mkoa nikiwa nashinda home tu hadi nilipoondoka na familia kurudi dar.

Huu ni mwezi wa 6 sasa ninachofanya ni kila mwezi natuma laki moja ya matumizi kwa ile line na kama anataka kunitaarifu kitu labda watoto wanaumwa basi atatuma meseji na mimi kila siku jioni huwa naweka line ile kwa muda mchache na kuangalia kama kuna ujumbe au nataka kujua jambo then naitoa.

Nafanya haya yote kujaribu kuprotect familia yangu lakini pia kuhakikisha watoto wale wanapata huduma kama watoto wengine.

Siku za karibuni presure toka kwa wazazi wa yule binti imekuwa kubwa, wanataka kunijua na kubeba jukumu kama baba kweli na si kutuma tu pesa wakati hawamjui mzazi mwenza wa binti yao, wamejaribu sana kuni trace bila mafanikio maana kila nikiwasha ile line jioni nakutana na sms kali kali kuto kwa wazazi wake, wanaongea maneno makali hadi kufikia kunitisha.

Hakuna ndugu yangu anajua maana niliogopa angeweza kusababisha mimi kujulikana kitu ambacho sipo tayari kitokee kwani mke wangu akijua nahofu ya kupoteza furaha ya familia yangu

lakini pia wakati mwingine nawafikiria wale watoto wanahitaji baba anayeoneka hata kama sita ishi nao .
Pia najiuliza ni kwa muda gani nitaweza kukaa na jambo hili peke yangu huku likinipa hofu na kuniondolea furaha ambayo ndio naogopa kuipoteza kwenye familia yangu

wakuu naombeni mawazo yenu tafadhali, kama ni kosa limeisha fanyika lakini i feel like i can't hold it anymore, but when i think about my family i got stuck

biblia inasema tusichangie wazinzi;HAPO HAPO INASEMA ANASAMEHE SASA BASI kwa kuwa sijaona sehemu uliyomwomba MUNGU msamaha kwa kitendo cha kutoka nje ya ndoa nashindwa hata kuendelea ;labda ushauri tu kama ulivyoandika yooote naomba uandike unaomwomba mungu akusamehe si kwa kuzaa nje ya ndoa bali kwa kutembea nje ya ndoa yako
nahisi hata mawazo yanayokuja baada ya hapa yatakuwa ya hekima kuliko hayo 75 naushee niliyyaona
mungu akubariki
 
Wadau wakati mwingine katika maisha tunafanya mambo ambayo ukikaa utulie unajiona mpumbavu na kutoamini kama kweli ni wewe umefanya au ulirukwa na akili.

Mkasa ulio nikuta ni matokeo ya uzembe wangu ambao naujutia hakuna mfano, so naomba ushauri wako badala ya kuendelea kunihukumu kwani tayari nimejifunza

Mwaka juzi tulienda kwenye shughuli fulani mkoani kwetu kwa wiki mbili, na katika katiza katiza za hapa na pale nikapata kabinti kamoja nikaanza nako uhusiano huku nikiwa na mke wangu na watoto wawili ambao niliwaacha Dar,
Kibaya zaidi mazingira tuliyokuwepo kondom zikawa hakuna na nikafanya kosa la mwaka kwa kujamiiana naye bila kinga.

Baada ya shughuli kwisha nikarudi Dar na kuendelea na maisha na nikawa sina tena mawasiliano na yule binti kwani alikuwa hana simu,hata hivyo ilikuwa ni kama hit and run

Sasa mwezi machi nikaenda likizo mkoa na familia, tukiwa katika wiki ya mwisho kama bahati nikakutana na yule binti akiwa na rafiki yake wote wamebeba watoto, basi yule binti kuniona tu alishtuka na kupiga kelele almanusura anguke na kuzirai, akaja akanikumbatia na kunishikilia kwanguvu huku akilia na kuongea maneno yaliyonichangaya kabisa.

Ikabidi tutafute sehemu tukae atulie kisha akamtoa mtoto mgongoni na yule wa rafiki yake akasema wanao hawa wako mapacha.
Kiukweli nilipo waona tu roho ilipasuka maana kitu fotokopi,huitaji hata mtaalamu kubaini kama wale watoto ni wangu kwani tumefanana nao mno.

Baada ya maongezi marefu nikajiridhisha kuwa watoto kweli ni wangu kwa mujibu wa maelezo yake na mfanano wa watoto.
Na akanieleza jinsi alivyohangaika kunitafuta kwani hakuwa hata anajua ninapokaa nikiwa mkoa na jina nilimpa la uongo hivyo na watoto kawapa jina hilo kama ubini wao.

Ilibidi nimpatie pesa ya matumizi kwanza palepale na nikachukua tax na kuwapeleka kwao kwa ahadi kuwa nikapajue kwao kisha kesho yake ntakwenda na wazee kujitambulisha kama mimi ni baba wa watoto wale,akanipa namba zake za simu alikuwa nayo nikazuga nita mbeep nkiweka vocha kisha nikaondoka bila kushuka na kusalimia kwao na nikamwambia asiseme kitu kwanza nijipange kwani anaishi na wazazi wake.

Niliporudi home nikajiuliza usiku kucha sikupata majibu,
Nampenda mke wangu na ananiamini sana kila nikifikiaria akijua akili haikubali, nahisi nitaharibu familia yangu
Baada ya tafakuri ya muda mrefu nikafanya maamuzi ambayo nayo naona yanaanza kunishinda ndio maana nipo hapa kwa ushauri wenu.

Nilichoamua ni kuhakikisha natunza siri hii peke yangu, nikaamua kesho yake nikanunua line mpya ya simu na kuisajili jina lile feki nikampigia simu kuwa nimepata dharura nimeondoka alfajiri na nikamtumia pesa laki3 kwaajili ya matumizi na kuahidi nitarudi soon.
Baada ya hapo nikamaliza wiki yangu mkoa nikiwa nashinda home tu hadi nilipoondoka na familia kurudi Dar.

Huu ni mwezi wa 6 sasa ninachofanya ni kila mwezi natuma laki moja ya matumizi kwa ile line na kama anataka kunitaarifu kitu labda watoto wanaumwa basi atatuma meseji na mimi kila siku jioni huwa naweka line ile kwa muda mchache na kuangalia kama kuna ujumbe au nataka kujua jambo then naitoa.

Nafanya haya yote kujaribu kuprotect familia yangu lakini pia kuhakikisha watoto wale wanapata huduma kama watoto wengine.

Siku za karibuni presure toka kwa wazazi wa yule binti imekuwa kubwa, wanataka kunijua na kubeba jukumu kama baba kweli na si kutuma tu pesa wakati hawamjui mzazi mwenza wa binti yao, wamejaribu sana kuni trace bila mafanikio maana kila nikiwasha ile line jioni nakutana na sms kali kali kuto kwa wazazi wake, wanaongea maneno makali hadi kufikia kunitisha.

Hakuna ndugu yangu anajua maana niliogopa angeweza kusababisha mimi kujulikana kitu ambacho sipo tayari kitokee kwani mke wangu akijua nahofu ya kupoteza furaha ya familia yangu

Lakini pia wakati mwingine nawafikiria wale watoto wanahitaji baba anayeoneka hata kama sita ishi nao .
Pia najiuliza ni kwa muda gani nitaweza kukaa na jambo hili peke yangu huku likinipa hofu na kuniondolea furaha ambayo ndio naogopa kuipoteza kwenye familia yangu

Wakuu naombeni mawazo yenu tafadhali, kama ni kosa limeisha fanyika lakini I feel like I can't hold it anymore, but when I think about my family I got stuck
Kwanza kabisa pole sana, na nakushukuru kwa kuleta hili suala mezani, kwa sababu inakuwa ni fundisho kwa jamii yetu kwa ujumla. kwanza kabisa unachotakiwa kufanya kwa sasa ni kutubu makosa ya kuzini kwa mola wako, Pili, kama mama yupo hai, ongea na wazazi wako kuhusu suala hilo walijue, na ili itakapotokea wale watoto unataka kuwachukua basi uwapeleke kwa wazazi wako, lkn wazazi wako wape precaution wasifujishe siri hiyo kwa mkeo. hapo watoto wake wa nje watakuwa na wewe karibu kwa kila kitu. kama wewe ni muislamu na unahisi yule mama watoto wa pembeni anakufaa kuwa mke muoe, lkn kabla ya kufanya hivyo inabidi umuandae mkeo kisaikolojia pamoja na kumpa somo la dini ili hali itakapojitokeza aweze kuikubali, pia mkeo ni mwanadamu, in the longrun kama unataka kunusuru watoto wako mapacha jenga mazingira ambayo hata ukimwambia mkeo atakuelewa. kila la heri mzee.
 
Back
Top Bottom