Najuta( mawazo yako ni muhimu)

Najuta( mawazo yako ni muhimu)

Nilichogundua: hii stori ni yakutunga, ulitaka tu kujisifia kama umemaliza elimu ya chuo, unajitegemea kwa sasa na unamiliki gari. Masikini akipata...
 
Yaani wewe sijui nikuiteje...... Sijui nikuweke katika kundi gani?

Wewe humpendi Manka, ungekuwa unampenda katu usingemuachia upenyo fary

huyo fary ni baunsa kiasi gani, mpaka ukashindwa kumtoa chumbani kwako na kumfungia mlango????? Mbona simple jamaniiiii.... Aaaaaaaaahh!! Akikuzingua si unamnasa makofiiiiii na hapo hatorudia tena

cheki sasa anavyokuendesha kama gari bovu na hapo hujamuoa......... Mbona utakoma????

Yaani ningekuwa mwanaume mimi.........aaaggrrrrrrhhhh!!!!!!!!
Nachukia watu wasio kuwa na msimamo!!!!!!!!!
 
Are you man or woman? Unapigwa had vibao? Dmn! Kwel tamaa! Afu bado hujajitambua! Yan ungekuwa karibu yangu nami ningekupga vibao KUKUZINDUA ULIPOLALA! yan we mtu had kahamia kwako! Anakutreat anavyotaka shiiti! HUJAMFUKUZA TU! What is buttocks by the way! Stp...! Umenikera !NTAKUSHAURI bdaye ngja munkari upoe kwanza loh!
nashindwa kumrudishia maana naweza nikaua
 
Nilichogundua: hii stori ni yakutunga, ulitaka tu kujisifia kama umemaliza elimu ya chuo, unajitegemea kwa sasa na unamiliki gari. Masikini akipata...
habari ya kweli ndugu,mchango wako ni muhimu,
 
Hivi hizi story(kama ni za kweli) wahusika wakizisoma haiwi tatizo kwa waanzisha thread? au wahusika hawawezi kuperuzi JF?
Mfano character wa hii hadithi, Manka hawezi kufungua JF?
manka hana muda na mitandao ya jamii,hana fb wal chochote kile labda huyu fary na yeye ana fb tu na sio mtumiaji kwa sana
 
Tafuta msichana ajifanye ndo manka,andaa mazingira ya wewe na huyo fary kufumaniwa.huyo msichana ampe kipigo kitakatifu.hapo lazima aende kwao kuuguza majeraha.Manka wako akirudi maisha yanasonga.il jitahid uwe na msimamo kijana.
mmmh! fary anaonekana ni mkorofi sana tena anaonekana ni mgovi yaaan naogopa nitajaza watu ndyo maana natafuta njia nzuri bila kumwaga damu
 
mimi ni kijana nimemaliza chuo 2011,nimeamua kutoka nyumban na kwenda kupanga mitaa ya ubungo,na kwa sasa nina kazi nzuri tu nilishawahi kuwa na mpenzi lakini tuliachana,hapo nilipoamia nikakutana na bint mmoja mzuri anaitwa manka alikuwa anaishi na dada yake,kwa kwel alikuwa mzuri na alinivutia sana kwa tabia zake nilitamani awe mke wangu bila kusita,nilijaribu kumzoea lakin ilikuwa ngumu kidogo kwani hata salamu hapokei na wala kuniangalia usoni,
nilijitahidi kujipendekeza kwa kila njia na kumtamanisha na vitu vingi ikiwemo kujionesha nina pesa lakin haikuwa rahisi.

nikaamua kuachana nae lakini kila rafiki yangu akija kunitembelea akimuona alikuwa anachanganyikiwa inanifanya narudisha tena majeshi lakin nagonga mwamba tulikuwa majirani ndani humo humo lakini ata namba ya simu yake
hakutaka kunipa,ilichukuwa takriban miezi 6 taratibu alikuwa ananizoea ikafikia ata kunipa namba ya simu sitaki kusema zaidi ilikuwaje lakin hatimaye tulikuwa wapenzi tena kwa ahadi ya kuoana,nampenda sana manka nae ananipenda.

Manka na dada yake waliama pale tulipokuwa tunakaa,na baadae walikwenda kwao moshi kwenye arusi ya dada yake,dada yake alirudi lakin manka hakurudi na alikuwa ameshamaliza masomo yake ya chuo,

Katikati ya mwezi uliopita pale ninapokaa wamewamia wasichana wazuri 2 wamemaliza chuo udsm wiki iliyopita,kiukwel sikutaka ata kuwazoea coz nampenda sana manka na niliamini akirudi yeye atakuwa anakuja kwangu,mwazon nilifanikiwa mpaka walikuwa wananiogopa,

Siku moja weekend nilikuwa natoka naelekea kutembea kwa ajiri ya kurefresh mind,wakati natoka wale mabint walikuwa nje mmoja akanitania unaelekea wapi na mim kiutani nikamwambia twende tukatembee,
bila kusita yule mmoja anaitwa fary akasema nisubili nakuja naenda kuvaa viatu kweli alikuja tukaingia kwenye gari na safari ikaanza hapo,niliekea kwa rafiki yangu mbezi beach then tukatafuta sehemu kule kule mbez beach tukala baga na muda ulipofika tukaondoka kama mida ya saa 2:30 ucku hivi,

wakat tupo njian yule bint(fary) alizipenda sana nyimbo zangu nilizokuwa nazipiga kwenye gari akasema nimpatie tukifika nyumban,hatimaye tukafika,mida ya saa 4 hivi ucku najiandaa kwenda kuoga nilale, mlango wangu ukagongwa,kufungua nakutana na sura ya fary,na kuniambia naomba nije niweke zile nyimbo ulizokuwa unapiga kenye gar,nilivuta pumzi kwanza then kiupore nikamwambia karibu nikawasha computer nikamwambia achukue mwenyewe anazozipenda na mimi nikaelekea kuoga,narudi kuoga namkuta anacheza game la zuma,ilikuwa usiku ilipofika saa 7 ucku ilinibidi nimwambie mimi nataka kulala kama vp kesho,akaniambia mbona unanifukuza nikamwambia hapana usiku sahizi,kama vipi lala,akasema hawezi kulala,mim nikaenda kitandan nikalala,
nimeamka nikastuka saa 9 nikamkuta bado anacheza zuma,nikamwambia njoo ulale usiku sahizi, baadae alikubali
na akapanda kitandan,
sikuweza kulala kwasababu fary ni mzuri kwa kwel tena mwenye makalio makubwa mwenye umbo namba 8 na sura ya kitoto inayovutia na laini katikati ucku ili nami asije kusema mwanaume suruali,nikamwomba tusex lakin alikataa na kusema yupo period sikumlazimisha tukalala mpaka asubuhi,na baadae aliondoka

siku ile ile mida ya saa 4 asubuh alikuja tena tukawa kama marafiki tuliojuana miaka mingi ivi,tulitengezeza chai tukanywa na cku nzima alishinda kwangu, tulipika chakula tulitengezeza juice,story na alinifundisha kucheza zuma,hatimaye ilifika usiku yaan ilikuwa kama ameamia kwangu kwani usiku tulilala tena wote,katkat ya ucku nilimwomba tena kusex alikubal lakin alisema tusitumie kondom,et hapend condom na huwa hasikii raha na huwa zinamuumiza, mim nilikata nikamwambia ni bora tusifanye sababu hatujuani,kweli hatukufanya mpaka asubuhi
mimi nilionyesha dalili ya kukasilika,
asubuhi alikubali aya tufanye tumia hiyo condom,kiukwel mim nilisita kufanya kwani nilishaingiwa na hofu,nilivyoona kwa jinsi ananizoea nikamwambia kwel kuhusu mahusiano kuwa nina mchumba hivyo siwezi kufanya nae sababu
naogopa atanipenda na mim nina mchumba anaitwa manka na yupo karibu kurudi,fary alichukia sana kwa taharifa
ile,basi alikasirika na hatimaye hakuna aliyekuwa anamwongelesha mwezie siku ile,ilipo fika tena usiku kama kawaida alikuja kwangu, na ndo siku hiyo tulifanya ila tulitumia kinga,na hapo alinihadithia kila kitu,kama ivi" alikuwa na mchumba wake alidumu nae miaka 3 yote wakat anasoma udsm lakin hakujua ni kama mume wa mtu,alifanyiwa kila kitu na huyo mume wa mtu.na hatimye alifumaniwa na mke wa huyo aliyekuwa mume wa mtu hapo alipokuwa amepangiwa na kupigwa vibaya sana mpaka alikwenda kwao kuuguza vidonda vyake kwahyo tangu ilo soo litokee hakuwa na mpenzi tena na alikuwa na hamu sana ya kufanya mapenzi ndo maana imekuwa rahisi sana kuwa karibu yangu, na ananipenda sana mimi kijana mwenzie,anatamani angenijua mapema,
si unajua tena mapenzi,fary alikufa kimapenzi kwangu mbayaaa,na mpaka hii leo anaishi na mim, kikubwa na kibaya amenipa miezi 2 niachane na huyo mchumba wangu manka,hataki niongee nae kwenye simu, na amenipa wik 1 kuanzaia leo niwe nimeama pale nilipo ili manka akirudi anikose anataka niwe na yeye
ndugu zangu kiukel najuta maana sitamani ata kurudi nyumbani kila siku kelele sipumui mimi,sheria kibao nyumbani kwangu,na manka anarudi wik ijajo
jaman jaman mtoto akinyia mkono huwezi kuukata najua nilishakosea naomba mawazo yenu na sio kunikashifu
nampenda sana manka mpezi wangu nifanyeje ili huyu fary achane na mimi nimejitahidi kumweonyesha simpend na kutomjari lakin nikirudi tu kelele mtindo mmmoja simu yangu ikiita anapokea yeye, na sometime ananipiga mpaka vibao,yaan vujo tupu ni mkorofi najuta,najuta na tamaa zangu, msahada wa haraka,sahizi nipo kazi ndiyo maana nimepata nafasi ata kuaandika maneno haya.naombeni mawazo,ushauri wenu nikirudi tu nianze kuyafanyia kazi nameshapotea mimi,

hahaha,..kwani ni mkurya?
 
Nenda kwa mganga wa kienyeji amtengeneze huyo mwanamke. Kila akikuona anaingia period.


Mwanamke anakupa vibao halafu unamchekea.
 
kweli wewe ni KICHUMVI ,na ulivyoyavamia mapenzi utalambwa sana.

wanawake huwajui wewe, kalaghabao.
 
Last edited by a moderator:
na unashindwa nini kumwambia ukweli kuwa HUMTAKI NA UKAMTIMUA CHUMBANI KWAKO KAMA KWELI MANKA NDO MKEO MTARAJIWA mana UMEKOSEA saaana !
yaan ndo nililokuwa naliwaza leo nikirudi kazin kutawaka moto ila nimeweka uku nione nitapata mawzo gani niongezee na ya kwangu asante sana ndugu
 
Hivi hizi story(kama ni za kweli) wahusika wakizisoma haiwi tatizo kwa waanzisha thread? au wahusika hawawezi kuperuzi JF?
Mfano character wa hii hadithi, Manka hawezi kufungua JF?

Wakati mwingine inabidi kutoamini kila kinacholetwa humu nyingine ni stori za kutungwa...
 
mpeni ushauri.ukisoma hii mada utaona uongo.ila adi aombe ushauri means yamemzidi ,msaidieni.........
 
kuwa na msimamo na kuonesha upo siriaz kuwa unamchumba na asiingie kwako asije akakupa kesi.Utapigwaje vibao mwanaume unaniaibisha,siku nyingine ukipigwa vibao usiandike umu,mezea mwenyewe
 
Mimi nadhani big booty haina thamani sawa na manka aiseeeee so what 2 do?????,just get rid of big booty then songa mbele majanga hayana budi kutokea katika lyf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom