Mwambie makavu kuwa unamtu wako au kama vipi nipe namba zake nikusaidie kustopisha umeniudhi sana how come mwanaume unamtu wako unapeperushwa kama uzi fyuuuuuu

Shida iko wapi? Kwani kakwambia anakuja ili umgegede si kasema anataka muonane tu as friends. Sasa wewe mawazo ya nini kuwa utamsaliti. Shida ya nyie vijana mnadhani ukiwa na mwanake ana kwa ana ni mgegedo tu.