Najuta kuwa Admin wa group

Najuta kuwa Admin wa group

Mwambie Live Nafasi Imejaa Kuliko Kumfariji Na Kumpotezea Mda
 
Hivi hizi group za Watsapp zenye watu 10+ kazi zinafanyika kweli? Kwa mfano sipo kwenye any group lakini huwa napokea ujumbe watsapp mpaka nakereka!
 
Maelezo marefu sana lakini point ni mstari mmoja

Anyway Kama huwezi kumtamkia kuwa humtaki muandikie BARUA😀😀
 
Weee mlokolee etii alafu alikwambia anakuja kwako uje kumla uroda, than huko kushare mawazo ni kwa kuchat tu wakati mwengine live bila chenga akikutaka kuwa km km mwanaume mpotezee
 
Jf wakati mwingine hunifurahisha sana. Wao wanapenda migegedo tu. Wao wakisikia umegegeda roho zao kwatuu! Ila ukimpoteza demu wanakuona bonge la ----. Kwani maisha ni kugegedana tu. Kila kitu kina muda wake na kina mahala pake. Yapo mengi ya kufanya.
 
Mwambie makavu kuwa unamtu wako au kama vipi nipe namba zake nikusaidie kustopisha umeniudhi sana how come mwanaume unamtu wako unapeperushwa kama uzi fyuuuuuu

Asanteeeeee! Well said!
 
Mblock tu,ndio njia rahis ya watu wenye 'huruma' kama wewe.
 
HAUELEWEKI
Mara unasema wote kwa grp wamekataliwa wewe ndio umekubalika,
Mara una sms umesave,
Mara amekuzowea,

Mara humtaki,
Mara una dame mwingine,
Mara anataka muonane,
Mara,,,,,
Argh.
Damn whatsapp!
 
Back
Top Bottom