Najuta kutupa pesa yangu VETA

Kifupi wewe ni kilaza sio wanaoenda kusoma hufaulu wote
 
Kichwa kibovu
 
Nimesoma veta kipawa nenda hata leo na uzuri imeenda awamu mbiili ya simu na umeme kwahiyo naelewa na hunidanganyi
 
Mtoa mada ni kilaza tu elimu ya veta ni bora kuliko hata baadhi ya university. Kwa maana kwamba ukimpa kazi graduate wa veta let say wa civil, then mpe kazi hiyohiyo graduate wa degree si ajabu degree akashindwa kufanya kwa ubora sawa na wa veta
 
Mtoa mada ni kilaza tu elimu ya veta ni bora kuliko hata baadhi ya university. Kwa maana kwamba ukimpa kazi graduate wa veta let say wa civil, then mpe kazi hiyohiyo graduate wa degree si ajabu degree akashindwa kufanya kwa ubora sawa na wa veta
Njoo uone kazi ninazozifanya
 
MZEE au ulikuwa mtoro,[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ufundi simu, ufundi magari, ufundi umeme, kuendesha mitambo, ufundi wa kujenga, na kadhalika hakikisha unajifunzia mtaani utaelewa vizuri zaidi na vyuoni nenda upate cheti tu
Umeme utoe hapo Mkuu.
Huwezi kujifunza mtaani umeme.
 
Hivyo ndivyo digirii nyingi zilivyo pia nchini "Tanzania".
Nashukuru kwa kulijua ili. Nimemaliza Bsc ya civil engineering sijui hata kuchanganya zege kupata 30C garde class ya concrete.elimu hii inatakiwa ifumuliwe dunia nzima.
 

Ulipigwa na kitu kizito , 😁😁 shida walimu wenyewe hawajui
 
Aliekuambia VETA wanakupa uzoefu ni nani? wale wanakupa ujuzi ili ukienda mtaani ukautumia vizuri upate mafanikio. Hivyo uzoefu unapatikana mtaani, na hiyo elimu uliyoipata kuna siku utawashukuru.
Mkuu una akili sana.
Safi sana.
 
Kuna jamaa mmoja sijui anaitwa Robert Nani anadai kuwa akasoma Havard business school Ila alichopata huko hakijamsaidia ku establish empire ya business aliyo nayo. So ni kanga la dunia nzima. Mie Naona wenye vyuo wawe na uhakika wa kuwatafutia watu ajir Mana wao ndio waliofundishwa kuwa wafanyakazi Bora.
Ulikosea mno kwenda beta Tena Kama simu ndio hawajui kitu. Jua gari mtaani nenda veta akachukue cheti
 
Nashukuru degree niliyosoma kwa 90% ujuzi nimeutoa huko mtaani nafanya kuongezea tu kidogo kidogo

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Hivyo ndivyo ilivyo ELIMU ya Tanzania kuanzia vidudu mpaka chuo kikuu.

Ndio maana tunalia ajira hakuna.
 
Ndo maana nikamwambia asiwalaumu veta bure kumbe yeye mwenyewe ndo chenga....
Malengo yake yalikua sio kujua kuandika au kusoma hayo maneno,ni kuzifumua fumua na kuzibongonya bongonya na kuzirudisha kama zilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…