Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 850
- 2,964
Kabla sijaenda niliomba ushauri kwanza wengine wakaniambia niende maana mafundi wa mtaani wengi ni wachoyo kukupa siri zote za kazi, na wengine wakaniambia nisiende maana hiyo pesa ya ada robo tu unapata fundi anakufundisha vizuri tu.
Llakini nikaona ni bora tu niende veta ila nilichokikuta huko ndugu yangu sikushauri na wewe uende.
Nilienda kusomea ufundi simu hardwire na softwire lakini mpaka namaliza sijui hata kutoa port ya kuchajishia simu, nimekuja kujifunzia huku mtaani na nimejua.
Kule ni kwenda tu kujua majina ya component na matatizo ya simu
Ni veta za serikali lakini.