Najuta kutotembea na mke wa rafiki yangu

Kampuni yenu ndo kazi zake hizo????

unaelewa maana ya rafiki...ukiwa na rafiki hufiki nyumbani kwake, na yeye hafiki kwako? familia zenu hazijuani kwa karibu? ukienda hom kwa rafiki yako hata usipomkuta huwezi kukaribishwa vizuri, hata kama ukimkuta mkewe tu? fikiria ndugu!
 
Nyie bana bado mna tabia zile za kichuo chuo za kumegeana bana, acheni bana
Sasa usimwone mwenzio yuko kimya, angalia vizuri si ajabu analipiza kwa mkeo/du wako


Mla huliwa.
 
Nyie bana bado mna tabia zile za kichuo chuo za kumegeana bana, acheni bana
Sasa usimwone mwenzio yuko kimya, angalia vizuri si ajabu analipiza kwa mkeo/du wako


Mla huliwa.

Mkuu yu wana tageti me...? hahahaaa
kwa hiyo unanishaur nini?
 
huyo mwanamke inaonyesha anamaindi sana mipini ya wanaume tofauti tofauti na si mwaminifu hata kidogo..
 
Heri tu anahisi fikiria jamaa anahisitu lakini uhusiano unakua tete je akikushika livu siatakupiga panga??? Kaa mbali muzeee
 
Kajipooze na soda. . .
Ulogwe ukatembee nae alafu ukamatwe kama hutorudi na "najuuuuuta kujuta kutotembea na mke wa rafiki yangu".
 
Sasa kama mpk unajuta, si ukamue tu mzigo! unakuwa ka sio kinega bana
 
Nimesoma lakini nashangaa unapojuta kuepuka matatizo mazito!
Aaagh, mie nilivyomuelewa uyu jamaa anajuta kwa nini hakumDO uyu mke wa partner wake kwani (1) uyo shem alimzimia sana akapoteza iyo opportunity, (2) partner wake anamchukia kwa kumuhisi tu na ata anakosa (3) na mwisho yeye amesusa wakati partner wa tatu anamtafuna uyo shemeji km hana akili timamu aya yote lazima yamfanye ajute
 
Itakuwa mke wake kuna siku alijihisi kuwa umemuambia kuwa mkewe alikuwa anakutaka na kutakuwa kuna kauli ilitamkwa kuhusiana na hilo jambo ndo maana wote wamekuchukia we usijitoe kwenye hiyo kampun coz kuna siku itafahamika Tu.Upumbafu wa mtu mmoja ndo ukugharimu hadi wewe mtu wa pembeni.ILA KAMA ULIKULA MZIGO HAMA.
 
Back
Top Bottom