Najuta kuoa

Kaa uzungumze nae kwa umakin mkubwa asipobadilika, mrudishe hta nyumban kidgo aende kujitafakar.suala LA kuwashirikisha wazaz mm sio muumin sana wa hilo ninyi ndo mnaweza badilisha mahusiano yenu...
Aksante mkuu nitalizingatia
 
umeoa mke wa mwenzio.....wako bado anakutafuta..... mapenzi matamu ni kwenye uchumba...ndoani ni sanaa,,, lazima wote muwe wasanii ili sanaa yenu muikubali muishi kwa raha mustarehe......nje ya hapo hamna kitu
Hadi nimetoa chozi
 
Kwa mujibu wa maelezo yako

Huenda una nia ya kuwa na mchepuko,mdogo angu kuwa makini sana hapo makambako ngoma nje nje.
 
vita ni vita mura piga masumbwi kdg ukiona aelew tafta mama ingine
 
Ntakujibu kama wanawake wanavoshauriwa humu--- vumilia ndo ndoa hiyo, muombee mwenzako mungu atambadilisha na kamwe usichepuke! 💪🏾👍🏾
 
Tafuta mchepuko ili upoze machungu.
Akikufungia nenda kalale kwa mchepuko
 
Siku zote nawaambia ndoa ni ujinga mmoja mnajaribu kujiingiza

Halafu mwanaume gani unakosa mchepuko unatuaibisha wenzio
 
Duh pole sana mkuu huyo ujue anapa kwenda ukimuacha tu kuna mtu kwenye Kona anamsubilia ushuke apande yeye.
 
Ishi ki-gentleman peleka mtoto bweni,tafuta mchepuko matata pembeni,usipeleke matumizi nyumbani;hapo mke lazima atubu.
 
Subiri kidogo tu utakufa kwa stress alafu sisi tutakuja kula ubwabwa mpaka tushibe....
 
mimi ni mchaga pure lakni uo ukanda maalumu hauna uhusiano wowote na tabia za mkeo, wanawake wa kanda maalumu wako poa sana, kama ilivyo desturi yetu wachaga kuoa kwetu lakn chaguo la pili ni kanda maalumu, bado hatuja mskia mkeo ila pamoja na yote badili life style yako na misimamo yako kama mwanaume na jambo kama hulitaki mwambie kwa kumuelewesha na sababu za kukataa.
 

Ukiona mwanamke mjasiri ujue ni mchawi
 
Upo kwenye Depression kubwa!
 
Unatulazimisha tujadili u kanda maalum wake, nahisi kabila lake Mkurya. Tangu kabla hujaoa hukujua kuwa ni Mkurya? Mbona wakura watu poa sana wenye adabu na heshima zote?
Bujibuji;
Tatiga muraa. Kweytu hatuna mujinga kama huyo. Kama kweri ni mwanamuke wa Kikurya, basi hamupendi kwa sababu alitakiwa amtwange mafimbo ya kufa mtu harafu mwanamuke huyo angebadirika. Mwanamuke wa Kikurya bila kipigo cha mbwa mwizi anajua humupendi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…