Najuta kuoa

Hoja zangu ziko wazi na bayana kwenye post, #4 nenda ukasome v
 
mimi naona asipo take care na wewe don't that's all huwa itamuuma na yeye akichepuka ndio iwe mwisho mwambie mmalizane maana haitoachika hiyo tabia amini nakuambia
 
Kazi kwelikweli usiumize roho yako mkuu michepuko inaponya wenye madhira kama yako.
 
Huyo anakupendavilabanahitaji kubembelezwa.....ahahaahaa..story nyingine zinachekeza
 
Makambako kwa jah people!! Vumilia baba ndoa inahitaji uvumilivu tu.yatapita jipe moyo
 
Anashukurugi ki moyo moyo 😁😁😁
 
Je wewe sio chanzo cha yeye kuwa na hizi tabia?,

Je kwani kabla ya kuanza kuishi pamoja hukutambua tabia zake??

Je unadhani wapi unakosea, jirekebishe, naye atafuata mkondo.

Inasemekana: Tabia ya mwanamke katika ndoa hujengwa na kuimarika kutokana na tabia za mwanaume, Nadhani kuna mahala unakosea, jitafakari kisha jirekebishe, naye atabadirika kidogo kidogo na maisha yenu yatabadilika pia.
 
Mkuu, kwa hiyo wewe hadi umecheka maana unafurahia magumu anayopitia huyu jamaa? Au kucheka kwako kuna maana gani? Sijaelewa!!!
 
Ww kalale nje siku zote.....
 
Usimpe matumizi siku tatu, atanyooka
 
tunavumilia mengi mkuu! wakongwe hatuna la kusema hapo. jiandae kuomba maji ya kuoga ujibiwe 'yako stoo kwenye ndoo'. au ukiomba chakula uelekezwe kwa mguu au uambiwe 'huna mikono? sufuria na mkaa vile pale'

ndoa zilikuwaza za miaka ya mababu. lakini ikikufikia hii na hauna wazazi au madada zako wakusaidie kumkanya, jiandae kujifia kwa presha, kisukari, athma, vidonda vya tumbo n.k kama Mohammed Moris wa Misri.

tulipoambiwa kua uyaone, hawakumaanisha maghorofa; ni pamoja na haya. vumilia tu mkuu japo baridi la Makambako sio la kitoto.

farijika na Makassy Junior/Ali Zolo
 
Asante mkuu kwa hekima zako . Kuhusu hilo nimeshamuambia ni wapi naenda ndivyo sivyo? Tizama maswali ambayo namuuliza kila Mara
1. Nakuridhisha kimapenzi? Anasema ndio . Hamna shida
2. Sijali familia. Anasema najali sana tena nina huruma
3. Kitu ambacho anahitaji nikae nae mda woote nisiende kutafuta . Anasema nazunguka saaaana . Yeye hana kazi. Nadhani hapo ndo shida ilipo lakini najitahd wikiend yoote nakaa na family na kuicare . Lakini mabadiliko siyaoni hata kdg
 
Eti shuka makambako loh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…