Najuta kuoa

#bujibuji nimekumiss😘
 

Bora uolewe tu mkuu
 
Excellent
 
Piga kimya jifanye humuoni endelea na Mambo yako Kama kawaida. Utaona atakavyorudi kukujali kwa kasi ya ajabu
 
Ww ni mwanaune hao walitoka ubavuni Acha kuwa fala
 
Muache asikupasue kichwa me nilioa mke ndani ya siku 7 nikamuacha.
 
Nahisi wewe ni mdogo wangu na kama sio wewe basi itakuwa story zenu zinafanana yaani mkewe yuko hivyo hivyo mpaka jamaa anatamani kumwachia kila kitu ahame mkoa au nchi kabisa!
Mdogo wako nae yuko makambako?
 
Kaka yangu zecha aliwahi kuniambia,namnukuu."Maisha ni mafupi,dawa ya mwanamke ni mwanamke".mwisho wa kunukuu.
 
Dawa ya moto ni ......... Nngekuwa mm, kitambo nshachukua uamz. Nagonga kitaa, nkirudi namsalimia kimoyomoyo nalala kimya kimya.

Huyu atakuwa kashapata buzi mtaani linamkuna wakat wa mchana. Ndo maana jamaa akifka yeye hana njaa.
😁😁😁 uzuri wa mwanamke akishaanza kupigwa nje anakuja na tabia za visa
 
Hata wewe mwelekeo wako ni kama unahukumu upande mmoja....be careful
Kwenye maisha yako jiepushe sana na kuhukumu kwa kusikiliza kesi upande mmoja.
Story ya mshikaji ina uwongo mwingi ndani yake.
 
Mkuu unaomba ushauri bila kutaja sababu mkuu?

Wewe unadhani ni kwa sababu gani mko katika hali hiyo mliyonayo,na kwa nini anakufanyia hivyoo...?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…