Najuta kuoa

Pole mkuu, kuna mwizi wako hujamjua tu.

Mpeane likizo ili akili zipumzike
 
Mtoto ana umri gani?
Wewe una shida gani pia?
Mna miaka mingapi ya ndoa?
 
Tafuta mchepuko kung'uta zako jimalizie shida zako swaafi ukirudi nyumbani jifunike shuka kimyaaaaa maisha yanaenda
 
100% huyo mkeo amependa mchepuko na amemuelewa saaana,.. Ni ngumu kuirudisha akili yake,.. Achana nae mkuu... Utaumwa
 
Yaani pamoja na mabalaa yote haya bado upo tu..!!
Hakyanani kuna wanaume ni majanga kwa taifa
 
Hhahhaha huyo mwanamke kiboko eti anakushukuru kimoyo moyo

Mkuu ngoja nikuulizz kabla hamjaoana alikuwa na tabia hizi au kabadilika baada ya kumuoa maana kuna ile kuchunguzana tabia kabla hamjaingia kwenye ndoa
 
Tatizo uliyajuwa toka kitambo ukavumilia.. itabidi upambane na hali hiyo..
 
Yaani pamoja na mabalaa yote haya bado upo tu..!!
Hakyanani kuna wanaume ni majanga kwa taifa
sasa afe? Maisha yanasonga.
Kila mwanaume unayemwona barabarani kama kaoa ukzungumzia ndoa yako ilivyo, atakwambia afadhal ya wewe kuliko yeye. Ni siri za ndoa
 
Yote 9 bro, wacha kurudi usiku sana kisa kuangalia mpira kwani unalipwa aseee chali yng. Kama vp funga dish hapo nyumbani. Unajua kunavitu ukijinyima kwaajili ya familia sio mbaya au usipo angalia mpira unateseka? Sikujui wala hunijui ila inaboa sana kama hashukuru lakini tupila mbali we tenda mema na fanya kila unachopenda kumfanyia mkeo hata kama hashukuru alafu kama ni mwongeaji sana punguza mwanaume mara nyingi hatutakiwa kuwa waongeaji mno bali wasikilizaji mno. Talk less hear more. Si maaanishi usiongee hapana ongea ila kuwa na ope conversation ambayo neno moja kwako kweke atoe maneno ishirini lol. Pia tathmini je nn kilichobadilika, kwanini lazma kuna chanzo cha hiyo attitude. Pia kumbuka mahusiano bila mawasiliano ni sawa na 1+0=1 badala ya 1+1=2 LAZMA KUMAKITU KIMEEMDA WRONG KAAENI MTAFAKARI NA MUULIZANE KWANN MMEFIKIA HAPO MLIKO SASA
 
sasa afe? Maisha yanasonga.
Kila mwanaume unayemwona barabarani kama kaoa ukzungumzia ndoa yako ilivyo, atakwambia afadhal ya wewe kuliko yeye. Ni siri za ndoa
Mi nishajiwekea, nikiona mwanamke hanifai ni kukaa nae mbali tu, sitaki kujipotezea muda wangu
 
Mimi nafikiri kuna kitu unakosea, wakurya mapenzi yao ni ya kupigwa mabanzi, usipompiga anaona humpendi na anakuona kama mwanamke mwenzake


Mpige vibao kwa wiki hta mara 3 utaona anakuomesha mahaba
 
Umempa ushauri murua sana, mtu kaoa na bado anakwenda kibanda umiza kuchek mpira? Dohhh
 
Dawa ya mwanamke jeuri ni kumletea mke mwenza tu.

Nyinyi watoto wa mama mnashida sana
 
Ok nimegundua jinsia yako sasa huyo mwanamke mpka hapo inawezekana ana mwanaume kwa hiyo anatafuta jinsi ya kuachana na wewe na usikute hata huyo mtoto sio wako piga chini oa mwingine ila usioe mnyamwezi mpare mmakonde mrangi utalia ni malaya wa kutupwa
 
Wanawake hao kama wapo katika mazingira ya sasa yalivyo magumu basi kazi ipo aisee, kuoa sio kuingia kwenye shida achana nae uendelee na maisha mengine jamaa yangu kama ni mke nenda matombo morogoro bro huko utapata mahari hata laki moja unapata mke yanini upate shida wakati kuna wanawake wanatafuta ndoa na wengine wanatafuta wa kuzaa nao aisee wewe wa wapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…