msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
hapo umeshalikoroga mkuu,katika mapenzi ukijidai kila kitu unachoifanya unapeleka mrejesho ujue penzi halitadumu,ni wachche wanaoishi kwa staili hiyo wanafanikiwa!cha msingi kama umempenda mtu futa historia yako na uanze moja kikubwa ni kuwa mwaminifu tu,kuna mambo mengine sio ya kumueleza mpenzi wako especially for ladies ukijidai unampa hubby list ya njemba zilizokugegeda ujue utaonekana kituko tu na mwisho wake utamwagwa tu.