Najuta kumtania mke wangu


Ha ha ha pole ila umeyataka mwenyewe
 
Kama unamjua x wake inamana mkuu hukuoa bokra ulikuta washakula kina jonson
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu lakini si ulianza mwenyewe
 
Dah!...nadhani ningelikua mimi ndonimeambiwa hivyo sasahivi angelua jikoni na mke mwenzie anamuelekeza mpangilio wa mji
 
Na hamu ya kumgegeda itaanza kupotea taratibu
 
Waswahili wanasema anaenza haonekani .....ila anaemaliza ndiyo anaonekana pole mkuu!
 
....akili inanituma kuamini hii kitu ni ya kutunga.
.....a real man hawezi fanya utani wa aina hiyo hata siku moja...unless uniambie-you are son of bitch.
I agree with you kabisa.
 
Limerushwa gizani hilo. Kazi kwako braza, ila ukumbuke tu, ukiwa sio mtani usitanie
 
Mkuu...
Usiende bar bia hazifai
Njoo ule ngada itapunguza stress.
 
Umeyataka mwenyewe na kiranga chako.
Utani gani huo wa kuingiza maex!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…