Una mwaka wa ngapi ndoani?Mkuu tulipishana kauli nikajibu kwa jazba kuwa "..usiniletee ujinga we Malaya.." Ndo nikaharibu kabisa yaani, ubabe haufai mkuu
Amin/ AminaHata mimi nikimkosea mke wangu kisha akalia huwa ananipa shida sana ila hajui jinsi ninavyoumiaga(na hili sitamwambia maana anaweza akaitumia hii vibaya).
Binadamu kukoseana ni kawaida,kujua kuwa umekosa ukakiri na kuomba msamaha ni jambo jema sana.
Niwatakie maisha mazuri na pasaka njema pia.
Mkuu bora ungempga kuliko kutukana ni,...."Malaya "Mkuu tulipishana kauli nikajibu kwa jazba kuwa "..usiniletee ujinga we Malaya.." Ndo nikaharibu kabisa yaani, ubabe haufai mkuu
Dahhh!! Mke wangu hanaga makuu ni mtu wa maono ya mbali!! Sijui ibilisi gani kanivagaaBora kula chapati iliyoungua ukimaliza kula utasahau kuliko kutamkiwa maneno makali ya kuunguza moyo hua ni ngumu kusahau...tuwe makini na kauli zetu...BTW hongera kW kutambua kosa na kulijutia huo ni uungwana...pasaka njema wana jf
Pole sana ..kataa kuambatana na huyo ibilisi aliyekuvagaaDahhh!! Mke wangu hanaga makuu ni mtu wa maono ya mbali!! Sijui ibilisi gani kanivagaa
Yaani ubabe wangu najiona bonge la mjinga!! Najuta hapa nipo jikoni nimejitolea kuandaa msosiusimkwaze mkeo wala usimseme vibaya..ni aibu mimi mtu akimsema vibaya mkewe namuona mpumbavu wa mwisho na hata kama ni jamaa na urafiki unakufa mda huohuo
Isiwe hivyo naombaMkuu bora ungempga kuliko kutukana ni,...."Malaya "
Nakuhakikishia hilo tusi ataliweka moyoni kwa miaka mingi sana
Tena ukute kuna kijamaa huwa kinamtongoza anakataa kwa kusema, ameolewa, usishangae anabadili mawazo maana maneno hujenga na wewe mtu aliyekuamini na kujivunia ukamtukana Malaya
Ngoja akathibitishe huo umalaya si ushatunuku beji ya umalaya
Duh! Vuta subira sana, ndoa zina changamoto nyingi then mdomo ni sumu ya ndoa. Mke hatukanwi kwa matusi wala hapigwi kwa ngumi.Wa kwanza tu huu mjomba