TAECOLTD
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 1,051
- 1,842
Habari za leo wana-JF wenzangu, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojielezea.
Mwaka jana niliwahi kuomba ushauri baada ya kufuma message nyingi kwenye Facebook account ya mke wangu, nikajipiga moyo konde tukaweka sawa maisha yakasogea. Tatizo limeibuka jana, kabla hatujaoana mwanamke huyu aliwahi kunitajia idadi ya watu alio-date nao kua ni 16 ila waliomgegeda ni 3 sasa jana sijui story zilianzia wapi bwana nikamtega tu hivi flani ktk ile list yako zamani aliwahi kukukisi.
Mweeeeh nikashangaa mtu kainamisha kichwa chini kwa huzuni huku akisema sikutaka kukuambia mume wangu, mwanaume nikajipiga kifua na kumwambia aseme tu. Si ndo akaanza nisimulia kua jamaa alimla bwana, jicho likanitoka. Acha kabisa kusikia taarifa za mkeo alivyoliwa halafu alikuficha ni kama msiba mkubwa.
Kwahiyo wapo 4, akawa analia sana nikampooza ili nijue kama wapo wengine waligegeda akaapa Miungu yote kua ni hao tu hakuna mwingine kabisa. Tangu jana najuta kukurupuka kuoa mapema, bora ningebaki bachela tu niwe nagegeda kistaarabu kisha najisepa, hapa kichwa kinaniuma sina la kusema
Kweli ukimchunguza sana bata humli, ndoa ina majaribu mengi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app