Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,643
Dogo alikua na ugonjwa wa akili polisi wabaguzi walikosa busara,,,unajua alichofanya kabla ya kupigwa risasi na polisi....japokua polisi walikosea sana kumuua mgonjwa wa akili na ilituuma sana diaspora wa kitanzania..![]()
Mtanzania Auawa Kwa Kupigwa Risasi Nchini Marekani - Global Publishers
MTANZANIA Rogers Kyaruzi mwenye umri wa miaka (30), aliyehamia Marekani akiwa mdogo, ametambulika kuwa ndiye aliyeuawa kwa kupigwa risasi na...globalpublishers.co.tz
NB: LAKINI HIYO HAINA TOFAUTI NA MAUAJI YA WATANZANIA HUKO ISRAEL WALIOUAWA KIMAKUSUDI NA HAMAS NA DIASPORAS TUNALAANI PIA