Najuta kuhamia nyumba hii

Kama anataka mpe kisha baada ya hapo kata mawasiliano naye, atakuheshimu vinginevyo atakusumbua.
 
Du jamaa yangu mm nipo Dodoma tubadilishane nyumba je upo mtaa ipi mm nina ya vyumba 3
Huyo mwenye mdomo na watoto wa3 namtaa sana
 
we mchunie tu usihangaike naye sana,ukiona anazidi kukusumbua mbandue na umuharibu ila mpeleke guest sio hapo kwako halafu achana naye,halafu chukua demu mwengine wa hapo kitaani atatulia tu
 
Wee usituzuge watu wazima, eti mkae na demu mnatizama Tv kwa sauti ya chini thubutuuu, ww umemtafuna huyo na huyo mwingine utamtafuna tu. suluhisho ni kuhama kakae maeneo ya hadhi yako sio uswahilini huko kajamba nani.
 
Wee usituzuge watu wazima, eti mkae na demu mnatizama Tv kwa sauti ya chini thubutuuu, ww umemtafuna huyo na huyo mwingine utamtafuna tu. suluhisho ni kuhama kakae maeneo ya hadhi yako sio uswahilini huko kajamba nani.

Hata mimi nahisi hivyo pia. Na kama jamaa anadai kiuchumi yuko juu sasa kwa nini anakaa uswahilini? Si akakae uzunguni au huko dodoma hakuna maeneo ya watu wa hali ya juu??
 
Jamani ntahama tu, waweza gusa na ndo ukanasa, bora nihame mazimaaaaaa? Nikatafute kwenye kodi kubwa, lakini full-utulivu.
 
Hongera sred owner kwa kufikia maamuzi............Usisahau kuleta mrejesho wa kile kinachojiri tafadhali.
 
Gaga unanishauri ujinga kabisa,lidada lishajizalia mitoto mitatu mi la nini si nitaendewa kwa sangoma bureeeee, mumewe haeleweki, hakyamungu nahama huku chang"ombe dodoma hapafai asilani. Bora nihamie hata area d au kisasa au nkuhungu kwa watu wenye akili ya kuztafuta nisije nkarogwa bureeeeee!
 
Back
Top Bottom