Najuta kuhamia nyumba hii

Mi nashangaa kwa nii amnyime usingizi dem mwenyewe anaonekana mswahili tu anapiga domo, wewe unashughuli zako kwa nini akunyime usingizi?

Jamani tusi underestimate kero ya mpangaji mwenza wa kike mswahili anayemtega wa kiume hasa ambaye hajawowa
 
Mkuu mwenye macho haambiwi tazama. Dada kaku-mind huyo. Kama humtaki basi acha kum-entertain we endelea na zako, mwishowe atajiona mjinga. Unampa kichwa sababu unam-entertain upuuzi wake. Wala usijute kuhamia nyumba hiyo Ukipata muda angalia movie inaitwa "Fouth Floor" naamini utajifunza zaidi.
Thanks
 
Jamani tusi underestimate kero ya mpangaji mwenza wa kike mswahili anayemtega wa kiume hasa ambaye hajawowa
Akapange nyumba nzima sasa ya nini kukaa kwenye kelele za aina hiyo wakati nyumba za kupanga ziko nyingi?
 
Mahali hapo si hadhi yako. Tafuta mahali panapofanana na HADHI yako. CHEAP IS EXPENSIVE! Ukiendelea kukaa hapo utaishia kupatwa na mikasa tupu.
 
Kama ndio unaanza kazi na huko single nyumba nzima ya nini. Hasikunyime raha wala kukuongezea gharama za kutafuta nyumba. Wewe chuna tena hata salamu usimpe as long as si mwenye nyumba kwa nini akusumbue akili.
 
Kama ndio unaanza kazi na huko single nyumba nzima ya nini. Hasikunyime raha wala kukuongezea gharama za kutafuta nyumba. Wewe chuna tena hata salamu usimpe as long as si mwenye nyumba kwa nini akusumbue akili.
Basi akapange upande au kinyumba kidogo afanye maisha kuliko kukaa na waswahili wa aina hii ni kujistress tu
 
Kaka kero na usumbufu unaoupata hapo sisi hatuujui, ndio maana kila mtu anachangia anavyojisikia na baadhi yao wanaongea upuuzi mtupu, wewe kama unaona hali ni tete ondoka tu hapo kwanini ikifika time ya kwenda home uanze kumuwaza huyo dada na kero zake? Tafuta sehemu ambayo aina usumbufu mkuu. Zaidi ya hapo nakutakia maisha mema lakini hapo unapokaa hapakufai....
 
Hama au kama vipi piga machine a.k.a. mpe cobra, ana kiu na mate na ya cobra huyo!:A S-heart-2:
 
Hapo ndg u ahve 2 make a choice
1:Kuishi pasipo kusikiliza nani kasema nn coz maisha yako ni yako na hakuna m2 ambaye anatakiwa akupangie ule nn uvae nn
2:Mtaarifu mwenye nyumba kuhusiana na hiyo kero sabab inaonekana wanaukaribu na ndo maana funguo ulizikuta kwa huyo dada
3:Tafuta yumba nyingine uhamie ilikuepusha hizo kelele
Niushauri tu,kakini sikushauri kumchapa nao
 
Kaka chagua 1 kuhama hapo au mchunie 2 had atakapopoa mwenyewe
 
<b><i><font size="4"><font color="purple">Dena bana! kumbe dawa ya mwanamke mbea ni kumt omba mara moja and then anapoa!!??</font></font></i></b>
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Ndo maana yake dear kelele zitakwisha
 
kwa kumchapa nao ndo atakuwa kaharibu kabisaaaa, kwan anaweza kwenda kwa sangoma ili awe anamkabidh mshahara wote, hapo ni mawili tu, 1. Kuchapa lapa 2. Kumchunia.
 
Back
Top Bottom