Bia zinashuka bei wateja siwaoni; muda huu nipo bar sina wateja kabisa kuna meza niliyokaa mimi na mbili zingine za wateja .. Umeme Maji Mishahara ya wahudumu; TRA ni sheshe; naomba ushairi wa wadau wa sekta hii hali so nzuri.
Muda huu ni saa nne na robo saa sita kamili nafunga bar kwa mujibu wa sheria - sijauza kabisa. Nipeni mawazo ama ushauri.
Muda huu ni saa nne na robo saa sita kamili nafunga bar kwa mujibu wa sheria - sijauza kabisa. Nipeni mawazo ama ushauri.